-
Hizbullah yayatwanga kwa maroketi na droni 150 maeneo ya Wazayuni na kuyateketeza kwa moto
Jun 13, 2024 13:39Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza leo Alkhamisi kwamba, mashambulizi makubwa mapya ya Hizbullah ya Lebanon yaliyotumia makumi ya droni na maroketi yamesababisha moto mkubwa katika maeneo 15 ya milima ya Golan na ya kaskazin mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Bagheri Kani: Iran ina uwezo wa kuchora njia za mafanikio za ulimwengu ujao kupitia BRICS
Jun 12, 2024 11:22Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Tehran kwa kuwa kwake mwanachama wa BRICS inaweza kushiriki katika kuchora njia na muongozo mkuu wa ulimwengu ujao kwa kushirikiana na madola mengine.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 27
May 27, 2024 07:14Huu ni mukhtasari wa baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia…..