-
Waziri wa Israeli Ben-Gvir amhimiza Netanyahu 'kusawazisha vitongoji vya Beirut na ardhi'
May 31, 2026 12:48Waziri anayejiita wa usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir, amemtaka Waziri Mkuu wa utawaka huo katili, Benjamin Netanyahu, kusawazisha na ardhi vitongoji vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut huku utawala huo ukizidisha mashambulizi yake dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
San Diego yaaga wahanga wa shambulizi dhidi ya Kituo cha Kiislamu katika mazishi ya heshima
May 22, 2026 15:03Zaidi ya watu 2,000 walihudhuria mazishi yaliyofanyika jana Alhamisi ya wahanga watatu wa shambulio dhidi ya msikiti na Kituo cha Kiislamu huko San Diego, California, huku kukiwa na huzuni kubwa zilizoandamana na pongezi kwa kujitolea wahanga hao waliowalinda watoto zaidi ya 140 waliokuwa ndani ya shule ya kituo hicho.
-
Iran yakosoa upotoshaji wa CENTICOM kuhusu mauaji ya halaiki ya Minab
May 21, 2026 04:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha matamshi ya Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kuhusu mashambulizi ya ya makombora yaliyofanywa katika shule ya msingi ya Shajareh Tayyebeh huko Minab kusini mwa Iran na kuyataja kuwa "yasiyo na msingi".
-
Mbunge Ulaya atoa wito wa uchunguzi kuhusu mauaji ya wanafunzi wa shule ya Minab
May 09, 2026 09:12Mwakilishi wa Bunge la Ulaya ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wasichana wa Shule ya Msingi ya Minab kusini mwa Iran, akisema huenda yalikuwa shambulio la kupangwa.
-
Majibu ya Khalil al-Hayyah kwa mauaji ya mwanawe: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano
May 09, 2026 08:06Mkuu wa Idara ya Kisiasa ya harakati ya Hamas huko Gaza, amethibitisha kuuawa shahidi mwanawe, Azzam na rafiki yake, akisisitiza kuwa: Adui Mzayuni hawezi kupata maafikiano kwenye meza ya mazungumzo kwa kulenga na kuua familia zetu.
-
Mshukiwa wa jaribio la mauaji apigwa risasi karibu na Ikulu ya White House
May 05, 2026 11:34Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema kwamba maajenti wa Huduma za Siri (Secret Service) wamempiga risasi na kumjeruhi mwanaume aliyekuwa na silaha katikati mwa jiji la Washington, D.C., karibu na Mnara wa Washington siku ya Jumanne, na kusababisha kufungwa kwa muda Ikulu ya White House.
-
Nchi 24 zaonya kuhusu janga la watu nchini Sudan; UN yasema ina wasiwasi mkubwa
Feb 18, 2026 23:33Nchi 24 za Magharibi zimeelezea wasiwasi wao kuhusu mauaji yanayoendelea kufanywa dhidi ya raia, uharibifu wa miundombinu na mashambulizi dhidi ya taasisi za misaada ya kibinadamu nchini Sudan, zikitoa wito kwa jeshi la Sudan na wapiganaji wa kundi la waasi la Rapid Support Forces kusitisha mapigano.
-
Afisa wa jeshi la Uingereza: Tuliua makumi ya Waafghani, maafisa walificha uhalifu huo
Dec 01, 2025 23:54Afisa wa zamani wa jeshi la Uingereza amefichua mauaji yaliyofanywa na askari wa kikosi maalumu cha Uingereza nchini Afghanistan na jinsi makamanda wa kikosi hicho walivyonyamazia kimya na kuficha uhalifu huu.
-
Tunisia yaijia juu polisi ya Ufaransa kwa kuua raia wake Marseille
Sep 04, 2025 04:06Tunisia imewasilisha malalamiko rasmi kwa Ufaransa, ikilaani mauaji ya raia wa nchi hiyo ya Kiarabu yaliyofanywa na polisi wa Ufaransa katika mji wa kusini wa Marseille.
-
IPOA yafichua: Polisi wa Kenya waliua watu 65 katika maandamano Juni, Julai
Jul 25, 2025 02:14Ripoti mpya ya Mamlaka Huru ya Kuchunguza Utendakazi wa Polisi (IPOA) imefichua kwamba watu 65 walipoteza maisha, 41 kati yao kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi, huku raia 342 wakijeruhiwa vibaya wakati wa maandamano ya Juni 25 na Julai 7 mwaka huu dhidi ya serikali ya Rais William Ruto wa Kenya.