-
Wakulima 30 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Nigeria
May 11, 2024 11:46Kwa akali wakulima 30 wameuawa katika shambulizi la genge la wabeba silaha katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Hamas: Kuanzisha maeneo ya kunyonga watu huko Gaza ni uhalifu wa kikatili wa kivita
Apr 01, 2024 11:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kwamba, kilichofichuliwa na vyombo vya habari vya Israel kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo ya kuanzishwa "maeneo ya kunyonga watu" katika Ukanda wa Gaza, ambapo mtu yeyote anayetembea katika maeneo hayo anauawa, ni jinai ya kikatili ya kivita.
-
Taharuki yatanda Sudan Kusini baada ya watu 15 kuuawa Pibor
Mar 21, 2024 02:54Hali ya wasi wasi imetanda nchini Sudan Kusini kufuatia mauaji ya watu 15 yaliyotokea katika eneo la Pibor, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu wakosoa kutoakisiwa mauaji ya makumi msikitini Burkina Faso
Feb 27, 2024 07:28Makumi ya waumini wa Kiislamu waliuawa katika shambulizi dhidi ya msikiti nchini Burkina Faso, siku ambayo watu 15 waliuawa pia katika hujuma nyingine dhidi ya kanisa nchini humo.
-
Imam wa Swala ya Jamaa Marekani auawa kwa kupigwa risasi
Jan 05, 2024 07:46Imamu wa Msikiti wa Muhammad huko Newark, katika jimbo la New Jersey nchini Marekani ameuawa kwa kupigwa risasi mbele ya msikiti huo.
-
Watu 16 wauawa katika mapigano jimboni Plateau, kaskazini mwa Nigeria
Dec 25, 2023 10:43Kwa akali watu 16 wameuawa katika shambulio la wabeba silaha katika jimbo la Plateau, kaskazini ya kati ya Nigeria.
-
Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia
Dec 18, 2023 10:19Wapalestina zaidi ya 100 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.
-
Wanafunzi 13 wauawa wakisherehekea Maulidi Nigeria
Nov 07, 2023 13:22Kwa akali wanafunzi 13 wa madrasa ya Kiislamu wameuawa katika shambulizi la wabeba silaha katika jimbo la Katsina, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
UN: Watu 183 wameuawa katika mapigano Amhara, Ethiopia
Aug 30, 2023 08:16Umoja wa Mataifa umesema kwa akali watu 183 wameuawa katika mapigano yanayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia.
-
Watu 16 wauawa katika mashambulizi mapya Khartoum, Sudan
Jul 26, 2023 06:11Watu wasiopungua 16 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga na ardhini viungani mwa Khartoum, mji mkuu wa Sudan.