-
Waislamu Marekani waapa "kumdampu" Biden katika uchaguzi wa 2024 kwa sababu ya uungaji mkono wake kwa mauaji ya Israel
Dec 04, 2023 02:59Waislamu katika majimbo muhimu ya Marekani wamezindua kampeni ya #AbandonBiden kutokana na kukataa kwa rais huyo wa Merekani kutoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya kinyama ya Israel huko Ukanda wa Gaza.
-
Erdogan: Netanyahu ni chinjachinja wa Gaza anayetaka kurefusha maisha yake ya kisiasa
Dec 01, 2023 02:28Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amemtaja Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuwa ni "mchinjaji wa Gaza," akisisitiza kwamba anarikodi jina lake katika historia kwa sifa hiyo kwa sababu "amefanya moja ya ukatili mkubwa zaidi wa karne hii."
-
Abu Ubaida atangaza baadhi ya hasara za Israel katika Kimbunga cha al Aqsa
Nov 25, 2023 04:35Msemaji wa Brigedi za Izzuddin al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), ametangaza kwamba zana na ala 335 za jeshi la Israel zimeharibiwa kabisa tangu kuanza mashambulizi ya utawala huo haramu dhidi ya watu wa Gaza na kusisitiza kuwa, utawala vamizi umelazimika kukubali suluhu na kusitisha mapigano.
-
Wake wa wakuu wa nchi watoa wito wa kusitishwa uhalifu wa Israel huko Gaza
Nov 16, 2023 11:19Wake wa wakuu wa nchi na serikali wamelaani mashambulizi ya utawala haramu wa Israel yanayolenga raia, haswa watoto na wanawake, katika vita vya Gaza. Tamko la wake wa maraisi na viongozi wa nchi mbalimbali duniani limetolewa katika mkutano ulioandaliwa na Emine Erdoğan, mke wa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, huko Istanbul jana, Jumatano.
-
Biden, Blinken, na Austin washtakiwa mahakamani kwa kushindwa kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza
Nov 14, 2023 14:38Kituo cha Haki za Kikatiba nchini Marekani kimewasilisha kesi mahakamani dhidi ya Rais Joe Biden, Waziri wa Mambo ya Nje, Anthony Blinken na Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin kwa tuhuma za kutoa uungaji mkono usio na masharti kwa mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza
Nov 08, 2023 02:41Zaidi ya mwezi mmoja umepita sasa tangu kuanza kwa vita vya Gaza na tangu kutekelezwa kwa operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" huku utawala wa Kizayuni unaoendesha operesheni za ardhini katika Ukanda wa Gaza dhidi ya wapiganaji wa Hamas ukizidisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya eneo hilo. Mashambulio hayo ya kinyama ya Israe; yameendelea kusababisha mauaji makubwa ya watu wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza.
-
"Okoa watoto wa Gaza", Wamarekani wakatiza kikao cha Kongresi cha kumsaili Blinken na Austin
Nov 01, 2023 08:15Waandamanaji jana Jumanne walikatiza kikao cha kuwahoji mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Marekani katika Bunge la Kongresi kilichoitishwa kwa ajiili ya kijadili suala la kuongeza uungaji mkono na misaada kwa Israel na Ukraine. Waandamanaji hao walioingia ndani ya Kongresi walitoa nara wakitaka "kuokolewa watoto wa Gaza" na "kusitishwa mapigano mara moja" katika eneo hilo la Palestina.
-
Al-Azhar: Adui Mzayuni ni mbwa mwitu mkali aliyepatwa na kichaa cha kuua
Nov 01, 2023 08:10Taasisi ya kidini ya Al-Azhar nchini Misri imetangaza kuwa: “Adui Mzayuni amegeuka na kuwa mbwa mwitu mkali na mwenye kiu ya kuua watoto, wanawake na watu wasio na hatia, na kufurahia kula nyama zao na kunywa damu zao bila ya kizuizi chochote.
-
Majaji wa mahakama ya UN wataka mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda aachiwe huru
Aug 08, 2023 12:36Majaji wa Umoja wa Mataifa wameamuru kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Felicien Kabuga mwenye umri wa miaka 90 isitishwe kwa muda usiojulikana kwa sababu ana matatizo ya akili.
-
Wito wa Katibu Mkuu wa UN katika kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda
Apr 08, 2023 10:52Wakati dunia ikiadhimisha kumbukumbu ya kutisha ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda mwaka 1994, ambapo Watutsi na watu wengine waliopinga mauaji hayo waliuawa pia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekiambia kizazi cha baada ya matukio hayo ya kutisha: “Tusisahau kamwe kilichotokea na tuhakikishe vizazi vijavyo vinayakumbuka kila wakati."