-
Wairani washiriki maziko ya mashahidi wao 250, Kiongozi Muadhamu atuma ujumbe
Jan 06, 2022 13:34Wananchi wa Iran wamejitokeza kwa wingi katika maziko ya mashahidi wao 250 waliouawa wakati wa vita vya miaka minane vya kujihami kutakatifu vilivyoanzishwa na utawala wa kidikteta wa Saddam wa Iraq dhidi ya dola changa wakati huo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mwili wa shahidi Qassem Soleimani na ya mashahidi wenzake yasindikizwa na kuagwa Ahvaz na Mashhad + Video
Jan 05, 2020 15:40Mwili wa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na ya mashahidi wenzake waliouliwa shahidi pamoja naye katika jinai ya kinyama iliyofanywa na majeshi ya kigaidi ya Marekani imesindikizwa na kuagwa leo katika mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mwa Iran na huko Ahvaz kusini mwa nchi.
-
Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani wawasili Iran ya Kiislamu
Jan 05, 2020 05:06Mwili mtoharifu wa Shahidi Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) umewasili katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo asubuhi katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Ahwaz kusini mwa nchi.
-
Miili ya vijana watatu wa Bahrain waliouliwa na utawala wa Aal Khalifa, yazikwa mjini Qum, Iran
Feb 24, 2018 00:52Miili ya vijana watatu wa mapinduzi ya wananchi wa Bahrain dhidi ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa na waliouliwa na polisi wa utawala huo, walizikwa jana Ijumaa mjini Qum, kusini mwa Tehran.
-
Wairan wawaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi ya Tehran
Jun 09, 2017 08:21Shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya juzi hapa Tehran imefanyika kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu pamoja na familia za mashahidi hao katika ukumbi wa Aftab wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge.
-
Utawala wa Aal-Khalifa wapiga marufuku watu kushiriki mazishi ya watu uliowaua
May 27, 2017 13:37Utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umepiga marufu kujitokeza watu katika mazishi ya mashahidi waliouawa na askari wa utawala huo eneo la Dizar, kaskazini magharibi mwa mkoa wa Pwani wa nchi hiyo.
-
Muhammad Ali kuzikwa leo, rais wa Uturuki na mfalme wa Jordan kutohutubia
Jun 10, 2016 04:03Nguli wa masumbwi duniani marehemu Muhammad Ali anatazamiwa kuzikwa leo Ijumaa katika mji wa Louisville jimbo la Kentucky nchini Marekani.
-
Maziko ya mtegeneza filamu mashuhuri wa Iran
Feb 29, 2016 02:35Maziko ya mtengeneza filamu mashuhuri wa Iran, Farajullah Salahshur yalifanyika jana Jumapili kwa kushiriki idadi kubwa ya wapenzi wa tasnia ya filamu hapa nchini.