-
Jumuiya ya Wasomi wa Kiislamu yalaani ombi la Ufaransa la misikiti kubariki ndoa za mashoga
Mar 27, 2021 22:46Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu imelaani wito wa serikali ya Ufaransa iliyowataka maimamu wa misikiti nchini humo kubariki na kuhalalisha ndoa baina ya mashoga na watu wenye jinsia moja, ikisisitiza kuwa wito huo unaonyesha msimamo wa kindumakuwili dhidi ya Uislamu.
-
Brunei yaanza kutumia sheria za Kiislamu kuwaadhibu wazinzi na mashoga
Apr 03, 2019 22:08Jamhuri ya Brunei jana Jumatano ilianza kutekeleza awamu ya pili ya sheria za Kiislamu katika adhabu ya makosa ya jinai nchini humo.
-
Ethiopia yawafunga jela wanaharakati wanaoshinikiza sheria za Kiislamu
Jan 04, 2017 03:44Mahakama moja nchini Ethiopia imewahukumu vifungo jela wanaharakati 20 wa nchi hiyo ambao wamekuwa wakishinikiza kutumika sheria za Kiislamu nchini humo.
-
Muswada wa sheria ya usawa wa jinsia wazua mpasuko Somalia
Jul 04, 2016 02:38Muswada wa sheria inayoshinikiza usawa wa jinsia nchini Somalia umeibua mjadala, malumbano na uhasama kati ya viongozi wa kidini na mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo.