-
Hatimaye jeshi la Syria laingia mkoa wa Deir Ezzor baada ya miaka kadhaa
Jun 25, 2017 03:41Askari wa kikosi cha nchi kavu cha Syria wameweza kuingia mkoa wa Deir Ezzor, mashariki mwa nchi hiyo sambamba na kudhibiti maeneo yake tofauti.
-
Sisitizo la Macron la kubadilika siasa za Ufaransa mkabala na Syria
Jun 23, 2017 02:32Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alisisitiza Jumatano wiki hii kwamba kumuondoa madarakani Rais Bashar al Assad wa Syria si jambo linalopewa kipaumbele tena na Ufaransa kama njia ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo. Macron amebainisha kuwa nchi yake hivi sasa inatoa kipaumbele kwa suala la kupambana na ugaidi huko Syria.
-
Syria: Kipindi cha udikteta wa Saudia kwa nchi za Kiarabu kimefika mwisho
Jun 17, 2017 03:32Gazeti la chama tawala cha Ba'ath cha nchini Syria limeandika kuwa, kipindi cha udikteta wa Saudi Arabia kwa nchi za Kiarabu kimefika mwisho na kwamba sasa udhibiti wa Riyadh kwa nchi hizo unasambaratika.
-
Putin akariri umuhimu wa Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Jun 01, 2017 03:19Kwa mara nyingine tena Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza juu ya umuhimu na nafasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Shamkhani: Baadhi ya nchi zimeligeuza eneo la Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi
May 23, 2017 15:55Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, baadhi ya nchi za eneo zinazofadhili na kuunga mkono ugaidi zinatumia mapato yao ya mafuta kuigeuza Mashariki ya Kati ghala la silaha za Magharibi na kushamirisha machafuko na vitendo vya ukatili.
-
Daesh yakiri kuuawa wanachama wake 110 na jeshi la Syria katika mkoa wa Daraa
May 23, 2017 14:34Mtandao mmoja wa habari wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Daraa kusini mwa Syria, umeandika kuwa, jumla ya wanachama 117 wa kundi hilo wameuawa na jeshi la nchi hiyo katika siku chache zilizopita.
-
Sababu tatu za kumalizika mazungumzo ya Geneva 6 bila kufikiwa natija
May 21, 2017 11:25Mazungumzo ya Geneva sita juu ya mgogoro wa Syria, ambayo yalifanyika chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa, yamemalizika bila kufikiwa natija iliyotarajiwa kwa ajili ya kukomesha mgogoro wa nchi hiyo.
-
Syria: Tutaheshimu makubaliano ya kupunguza machafuko, lakini tutatoa jibu kali kwa atakayeyavunja
May 09, 2017 04:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Walid Muallem amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo imekaribisha hati ya makubaliano kwa ajili ya kupunguza mgogoro ndani ya maeneo manne maalumu, yaliyofikiwa katika kikao cha Astana 4 huko Kazakhstan, na kwamba lengo la hatua hiyo ni kudhamini usalama wa raia na kuboresha hali yao ya maisha.
-
Mafanikio ya jeshi la Syria licha ya mashambulizi ya kiadui ya Marekani
Apr 21, 2017 06:28Licha ya Marekani kufanya shambulizi la makombora dhidi ya kambi ya kijeshi ya Shayrat ya jeshi la Syria hatua ambayo inaonesha wazi uungaji mkono wa Marekani kwa magenge ya kigaidi yanayofanya jinai nchini humo, lakini jeshi la Syria linazidi kupata mafanikio katika mapambano yake dhidi ya magaidi wakufurishaji kwenye mikoa na maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Ripoti zaidi zavuja kuhusu urongo wa Marekani juu ya shambulizi dhidi ya Syria
Apr 17, 2017 07:38Siku kumi baada ya shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya kituo cha jeshi la anga la Syria cha Shayrat kwa kutumia kisingizio kwamba Damascus ndiyo iliyofanya mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Idlib, kumefichuliwa ripoti mpya zinazothibitisha urongo wa madai hayo ya serikali ya Washington.