Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Jeshi la Syria lapata mafanikio mengine katika maeneo mbalimbali nchini

    Jeshi la Syria lapata mafanikio mengine katika maeneo mbalimbali nchini

    Apr 04, 2017 03:28

    Jeshi la Syria huku likiungwa mkono na vikosi vya anga vya nchi hiyo limewauwa makumi ya magaidi katika oparesheni ya kuukomboa mji wa Halfaya na kuwasababishia hasara kubwa magaidi hao.

  • Miripuko ya mabomu; natija ya kushindwa mazungumzo ya Syria

    Miripuko ya mabomu; natija ya kushindwa mazungumzo ya Syria

    Mar 17, 2017 05:59

    Katika hali ambayo hata mazungumzo ya Astana 3 kuhusiana na mgogoro wa Syria nayo yameshindwa, mashambulizi ya mabomu ya magenge ya kigaidi yanayopata uungaji mkono wa madola ya kigeni yameonesha wazi kuwa magenge hayo hayapendi kuona utulivu unarejea nchini humo.

  • Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake ndani ya Syria

    Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake ndani ya Syria

    Mar 12, 2017 13:45

    Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, Marekani imetuma karibu wanajeshi wengine 200 katika kijiji cha al Asaliyyah, kaskazini magharibi mwa mji wa Manbij, wa kaskazini mwa Syria.

  • Misri yasisitiza udharura wa kurejea Syria katika Arab League

    Misri yasisitiza udharura wa kurejea Syria katika Arab League

    Mar 11, 2017 15:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa, mgogoro wa Syria unakaribia kupata ufumbuzi wa kisiasa na kusisitiza kuwa upo udharura wa kurejea nchi hiyo katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Russia: Kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa inapasa iwe ndio ajenda ya mazungumzo ya Syria

    Russia: Kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa inapasa iwe ndio ajenda ya mazungumzo ya Syria

    Mar 02, 2017 14:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesisitiza kuhusu ulazima wa pande zinazopigana nchini Syria kujikita kwenye kutafuta mwafaka wa namna ya kuendesha nchi katika kipindi cha mpito katika mazungumzo yao yanayoendelea hivi sasa mjini Geneva.

  • De Mistura: Mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi

    De Mistura: Mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi

    Feb 24, 2017 03:53

    Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Syria amesema pande zote zinatambua kuwa, mgogoro wa nchi hiyo hauwezi kutatuliwa kwa njia za kijeshi.

  • Assad: Ufaransa inabeba dhima ya mauaji ya raia nchini Syria

    Assad: Ufaransa inabeba dhima ya mauaji ya raia nchini Syria

    Feb 18, 2017 02:39

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema hatua ya Ufaransa ya kuyaunga mkono magenge ya kigaidi yanayoendesha harakati dhidi ya vikosi vya serikali ya Damascus na wananchi imechangia moja kwa moja mauaji ya raia katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi

    Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi

    Feb 13, 2017 15:10

    Duru za kuaminika za Tunisia zimesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumwa nchini Syria kupambana bega kwa bega na serikali ya Syria dhidi ya magenge ya kigaidi katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Syria lawazingira magaidi wa ISIS katika mji wa Al-Bab

    Jeshi la Syria lawazingira magaidi wa ISIS katika mji wa Al-Bab

    Feb 08, 2017 07:57

    Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binaadamu nchini Syria, ameelezea kusonga mbele jeshi la Syria kwa kushirikiana na Harakati ya Hizbullah katika eneo la Al-Bab karibu na mpaka wa Uturuki, na kuzingirwa magaidi wa genge la Daesh kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Taarifa ya Astana yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi nchini Syria

    Taarifa ya Astana yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi nchini Syria

    Jan 24, 2017 14:59

    Pande zilizoshiriki katika mkutano wa amani nchini Syria katika mji mkuu wa Kazakhstan, Astana zimetoa taarifa ya mwisho inayosisitiza udharura wa kulindwa ardhi yote ya Syria na kudumishwa mapambano dhidi ya ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS