-
Shamkhani asisitiza kuheshimiwa misingi ya demokrasia huko Syria
Jan 16, 2017 14:42Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa jitihada zinazofanywa na baadhi ya nchi ikiwemo Marekani kwa ajili ya kuamua mustakbali wa Syria ni kinyume na misingi ya demokrasia na haki ya mataifa ya kujiainishia mustakbali wao.
-
Syria: Hatuna imani na watawala wa Uturuki
Jan 01, 2017 06:31Ali Abdul Karim Ali, balozi wa Syria nchini Lebanon amesema, Damascus haina imani na watawala wa hivi sasa wa Uturuki kwani Ankara ndiyo nguzo kuu ya uungaji mkono wa kifedha na kifikra kwa ugaidi ulioenea leo hii kwenye eneo hili.
-
Jeshi la Syria lagundua karakana ya magaidi ya kutengeneza silaha za kemikali, Aleppo
Jan 01, 2017 03:01Jeshi la Syria limetangaza kuwa, limegundua karakana iliyokuwa ikitumiwa na magaidi kutengeneza silaha za kemikali katika mji wa kaskazini mwa nchi hiyo wa Aleppo.
-
Wamisri waingiwa na wasiwasi wa kuvamiwa nchi yao na wimbi la magaidi
Dec 29, 2016 14:46Duru za usalama nchini Misri zimetangaza habari ya uwezekano wa kuvamiwa nchi hiyo na wimbi la magaidi kutoka nchi nyingine, suala ambalo limezitia hofu nyoyo za wananchi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Shakhsia wa kisiasa wa Tunisia kuelekea Syria kwenda kumwomba radhi Rais Assad
Dec 26, 2016 16:17Ujumbe wa viongozi wa vyama vya siasa vya Tunisia unatazamiwa kuelekea nchini Syria kwa madhumuni ya kwenda kumwomba radhi Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.
-
Misri yasisitiza kupambana na makundi ya kigaidi
Dec 01, 2016 07:37Mwakilishi wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametaka kuendeshwa mapambano na nchi zote dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Iran: Umoja wa Mataifa usiegemee upande wowote katika mgogoro wa Syria
Nov 13, 2016 06:49Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika amesema kuwa, katika kuleta amani na usalama wa kimataifa, Umoja wa Mataifa haupaswi kuegemea upande wowote katika mgogoro wa Syria.
-
Assad: Mashambulizi ya Aleppo yanalenga kuwapa usalama raia
Oct 19, 2016 15:23Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwaangamiza magaidi katika mji wa Aleppo, kaskazini magharibi mwa nchi ndio chagua la pekee na la kisheria la kuwadhaminia usalama raia.
-
Magaidi wazidi kuangamizwa katika maeneo tofauti ya Syria
Oct 03, 2016 07:25Habari kutoka nchini Syria zinasema kuwa, makumi ya magaidi wanaendelea kuuawa katika mashambulizi ya jeshi la Syria na ndege za Russia.
-
Al-Jaafari: Hitajio la sasa la Syria ni kusimamishwa vita na kukomeshwa ugaidi
Sep 30, 2016 04:19Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema badala ya misaada ya kibinadamu, nchi hiyo inahitajia kusimamishwa vita na kukomeshwa ugaidi.