-
Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni
Sep 27, 2016 14:08Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Marekani; mwongozaji wa njama dhidi ya Syria
Sep 27, 2016 07:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amesema Marekani ndiyo iliyoshika usukani wa njama inayotekelezwa dhidi ya nchi yake; na nchi nyingine za Magharibi na za eneo la Mashariki ya Kati zinaisaidia Washington katika kufanikisha njama hiyo.
-
Magaidi 40 waangamizwa katika mashambulio ya anga Halab Syria
Sep 20, 2016 13:42Vikosi vya Syria vikisaidiwa na ndege za kijeshi za Russia vimefanikiwa kuwaangamiza magaidi 40 katika mji wa Halab ambao ni wanachama wa kundi la kigaidi la Jabhat al-Nusra.
-
Sarkozy: Ulaya inaihitajia Russia ili kutatua mgogoro wa Syria
Sep 18, 2016 07:25Rais wa zamani wa Ufaransa amesema kuwa Ulaya inapasa kushirikiana na Russia ili kuweza kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria.
-
Jeshi la Syria latungua ndege ya kivita na drone za Israel katika anga ya nchi hiyo
Sep 13, 2016 14:07Kikosi cha ulinzi wa anga nchini Syria kimefanikiwa kudungua ndege ya kivita ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel iliyokuwa ikipaa kwenye anga ya nchi hiyo.
-
Makubaliano ya Marekani na Russia kuhusu mgogoro wa Syria yaitia wahaka Israel
Sep 11, 2016 06:52Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa makubaliano yaliyofikiwa baina ya mawaziri wa mambo ya nje wa Russia na Marekani kuhusu kutekelezwa usitishaji vita nchini Syria ni ushindi kwa Moscow.
-
Jeshi la Syria laendelea kupata mafanikio makubwa dhidi ya magaidi wakufurishaji
Sep 09, 2016 03:39Jeshi la Syria kwa kushirikiana na wanamapambano limeendelea kusonga mbele katika maeneo yaliyokuwa yakidhibitiwa na wanachama wa makundi ya kigaidi na kitakfiri.
-
Marekani yasema mazungumzo baina yake na Russia kuhusu Syria yamevunjika
Sep 04, 2016 14:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kuwa mazungumzo baina ya nchi hiyo na Russia kuhusu mgogoro wa Syria yamevunjika.
-
Watoto wahanga wakuu wa maafa ya Syria
Aug 28, 2016 06:58Watoto ndio wahanga wakuu wa mgogoro wa Syria. Hii ni kutokana na kuwa, licha ya kuwa watoto hao hawana nafasi yoyote ile katika kuenea vita nchini Syria, lakini wao wamekuwa ndio wahanga wakuu wa mafaa ya nchi hiyo kuliko tabaka jingine lolote lile.
-
Bashar al Jaafari: Ndege za kivita za Marekani zinawauwa watoto wa Syria
Aug 23, 2016 08:20Mwakilishi wa Syria katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa watoto wa Syria wanauliwa na ndege za kivita za Marekani.