Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mgogoro wa Syria

  • Serikali ya Syria: Tuko tayari kwa ajili ya mazungumzo na wapinzani

    Serikali ya Syria: Tuko tayari kwa ajili ya mazungumzo na wapinzani

    Jul 25, 2016 04:16

    Serikali ya Syria imetangaza kuwa, iko tayari kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo na makundi ya wanamgambo kwa shabaha ya kurejesha amani nchini humo na kuhitimisha vita vya miaka 5 katika nchi hiyo.

  • Ndege za muungano wa Marekani zaua makumi ya raia nchini Syria

    Ndege za muungano wa Marekani zaua makumi ya raia nchini Syria

    Jul 20, 2016 03:31

    Kwa akali raia 56 wakiwamo watoto wadogo 11 wamepoteza maisha katika mashambulizi ya anga ya ndege za muungano bandia wa kupambana na magaidi unaoongozwa na Marekani nchini Syria.

  • London mwenyeji wa mkutano wa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi Syria

    London mwenyeji wa mkutano wa waungaji mkono wa makundi ya kigaidi Syria

    Jul 20, 2016 03:29

    Boris Johnson, Waziri mpya wa Mashauri ya Kigeni wa Uingereza amewakaribisha mjini London mawaziri wenzake wa mashauri ya kigeni wa Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu kwa ajili ya kujadili kadhia ya Syria.

  • Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa

    Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa

    Jun 23, 2016 15:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro wa Syria unaweza tu kutatuliwa kwa njia ya kisiasa.

  • Ban Ki-moon asisitiza mgogoro wa Syria kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo

    Ban Ki-moon asisitiza mgogoro wa Syria kutatuliwa kwa njia ya mazungumzo

    Jun 15, 2016 15:35

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa mgogoro wa Syria unapasa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya mazungumzo.

  • Magaidi wa ISIS waua  watu 20 katika Haram ya Bibi Zainab SA, Syria

    Magaidi wa ISIS waua watu 20 katika Haram ya Bibi Zainab SA, Syria

    Jun 11, 2016 15:28

    Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damascus.

  • UN: Iran ni muhimu katika mchakato wa amani Syria

    UN: Iran ni muhimu katika mchakato wa amani Syria

    May 26, 2016 07:32

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi yenye umuhimu mkubwa katika mchakato wa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Syria, sambamba na kupatika amani ya kudumu katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Daesh wamalizana wenyewe kwa wenyewe, 50 wauawa Damascus

    Daesh wamalizana wenyewe kwa wenyewe, 50 wauawa Damascus

    May 18, 2016 03:44

    Makumi ya wachama wa makundi ya kigaidi wameuawa kutokana na kushamiri malumbano miongoni mwao huko Damascus, mji mkuu wa Syria.

  • Amnesty International: Waasi wa Syria wametenda jinai za kivita

    Amnesty International: Waasi wa Syria wametenda jinai za kivita

    May 14, 2016 03:49

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Syria yametenda jinai za kivita.

  • Nafasi ya waungaji mkono wa ugaidi Syria katika matukio ya hivi karibuni kaskazini mwa nchi hiyo

    Nafasi ya waungaji mkono wa ugaidi Syria katika matukio ya hivi karibuni kaskazini mwa nchi hiyo

    May 10, 2016 06:50

    Ukiukaji wa usitishaji vita na uvamizi dhidi ya eneo la kistratijia la Khan Tuman, huko kaskazini mwa Syria ambao umefanywa na makundi ya kigaidi, kwa mara nyingine umefichua sura halisi ya magaidi na waungaji mkono wao katika fikra za walio wengi, kuhusiana na malengo yao mabaya kwa taifa hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS