-
Marekebisho ya Taylor Greene ya kuacha kuusaidia utawala wa Kizayuni yapingwa katika Kongresi ya Marekani
Jul 20, 2025 03:37Baraza la Wawakilishi la Marekani limepinga marekebisho ya Marjorie Taylor Greene, mbunge katika baraza hilo, kwa ajili ya kupunguza msaada wa kijeshi wa dola milioni 500 kwa Israel.
-
Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 04, 2025 02:58Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili alitumia mamlaka ya dharura aliyonayo kisheria kupitisha mpango wa utoaji msaada wa shehena ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 4 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kwa miongo saba, Marekani imeipatia Israel msaada wa dola bilioni 300
Apr 07, 2024 07:04Jopo la wanafikra la Baraza la Uhusiano wa Nje la Marekani limetoa ripoti kuhusu kiwango cha msaada wa karibu dola bilioni 300 ambazo Washington, ikiwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, imetoa katika muda wa miongo saba kuupatia utawala huo.
-
Msaada mpya wa silaha wa Marekani kwa Israel wa kufanyia mauaji makubwa zaidi ya kimbari ya Wapalestina
Apr 01, 2024 10:53Sambamba na juhudi zinazofanywa kimataifa kwa lengo la kusimamisha mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na utawala wa Kizayuni; na mashinikizo yanayotolewa kwa utawala huo uhakikishe unaruhusu kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza, duru za habari za Marekani zimeripoti kuwa serikali ya Washington imeidhinisha kupatiwa Israel shehena mpya ya silaha za kisasa ili kuweza kuua idadi kubwa zaidi ya Wapalestina.
-
Undumakuwili wa Marekani kuhusiana na utawala wa Kizayuni na vita vya Gaza
Mar 26, 2024 02:09Marekani, ikiwa ni mshirika muhimu zaidi na muungaji mkono asiye na masharti wa utawala wa Kizayuni wa Israel, inatekeleza sera ya undumakuwili kuhusu utawala huo na jinai zake. Kwa upande mmoja, katika kitendo cha kuonyesha mshikamano na Israel, Washington imetangaza msaada mpya wa kijeshi kwa utawala huo sambamba na kukata misaada kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA.
-
Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi
Jan 31, 2024 10:51Rais wa Ukraine amekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu mkabala wa Russia na kusema: Ulaya peke yake haiwezi kuisaidia Ukraine dhidi ya Russia bila uungaji mkono wa Marekani.
-
Marekani yaongeza misaada ya kijeshi kwa utawala utendao jinai wa Israel
Oct 21, 2019 08:08Marekani imeongeza msaada wa kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unaendelea kutenda jinai dhidi ya Wapalestina.
-
Ndege za Marekani zashuhudiwa zikiwatumia silaha mabaki ya Daesh (ISIS) nchini Syria
May 19, 2018 14:16Kwa mara nyingine wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamepewa msaada wa silaha na askari wa Marekani na kuwawezesha kuingia eneo la wazi la kusini magharibi mwa jimbo la Deir ez-Zor nchini Syria.