-
Kuendelea mgogoro wa Bwawa la al-Nahdha; kukataa Sudan kurejea katika mazungumzo
Aug 11, 2020 05:20Mgogoro kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha ungali unaendelea na katika hali ambayo, Ethiopia imetekeleza hatua ya awali ya ujazaji maji katika bwawa hilo, Sudan na Misri zimekataa kuendelea na mazungumzo ya pande tatu kwa ajili ya kufikia makubaliano na serikali ya Addis Ababa.
-
Sudan yakataa pendekezo la Ethiopia kuhusu Bwawa la al-Nahdha
Aug 06, 2020 00:00Wizara ya Umwagiliaji ya Sudan imesema, nchi hiyo haijakubali pendekezo la Ethiopia kuhusu kujaza maji na kutumia Bwawa la al-Nahdha (GERD).
-
Misri yatangaza kusitisha rasmi mazungumzo yake na Ethiopia kuhusu Bwawa la al-Nahdha
Aug 05, 2020 03:34Serikali ya Misri imetangaza kusitisha mazungumzo yake na Ethiopia kuhusiana na kadhia ya Bwawa la al-Nahdha kutokana na kile ilichokieleza kuwa, hatua ya upande mmoja ya Addis Ababa ya kuanza kujaza maji katika bwawa hilo.
-
Misri yapinga hatua ya Ethiopia ya kujaza maji katika Bwawa na Renaissance
Aug 04, 2020 02:45Wizara ya Maji ya Misri imepinga hatua ya upande mmoja ya Ethiopia ya kuanza kujaza maji katika Bwawa na Renaissance.
-
Rais Sisi wa Misri aidhinisha sheria ya kuwazuia wanajeshi kuwania urais
Jul 30, 2020 06:03Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri ameidhinisha sheria ya kupiga marufuku wanajeshi walio kazini na waliostaafu kuwania urais au ubunge bila idhini ya jeshi.
-
Kuendelea mivutano juu ya ujenzi wa Bwawa la Renaissance
Jul 30, 2020 04:56Mgogoro ulianzishwa na ujenzi wa Bwawa la Renaissance juu ya maji ya Mto Nile unachukua mkondo mpya siku baada ya nyingine na kila moja kati ya nchi tatu zinazohusika katika mzozo huo, yaani Misri, Ethiopia na Sudan, zinaendelea kufanya jitihada za kulinda mgao wao wa maji ya mto huo.
-
Misri na Sudan zapinga hatua ya upande mmoja ya Ethiopia ya kuanza kutumia maji ya bwawa la Renaissance
Jul 28, 2020 22:02Misri na Sudan zimesema, hazikubaliani na hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na Ethiopia ya kutekeleza awamu ya kwanza ya utumiaji wa maji ya bwawa la Renaissance.
-
Misri yatoa vitisho dhidi ya Ethiopia kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha
Jul 25, 2020 06:57Mjumbe wa timu ya Misri katika mazungumzo kuhusu Bwawa la al-Nahdha ametishia kuwa, endapo hakutafikiwa mwafaka katika kadhia hiyo, serikali ya Cairo itachukua hatua ya upande mmoja dhidi ya Ethiopia.
-
Misri sasa yadai inapinga uingiliaji wowote wa kigeni nchini Libya
Jul 25, 2020 03:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amedai kuwa nchi yake inapinga uingiliaji wowote wa kigeni nchini Libya.
-
Vyama vya upinzani Misri kususuia uchaguzi wa Seneti, vyasema hakuna mazingira ya uchaguzi huru
Jul 23, 2020 21:53Vyama vya siasa vya upinzani nchini Misri vimetangaza kuwa vitasusia uchaguzi wa Baraza la Seneti uliopangwa kufanyika tarehe 11 na 12 mwezi ujao wa Agosti.