-
Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya
Feb 08, 2020 23:12Rais wa Miisri ametahadharisha kuwa kuhamisha magaidi walioko Syria na kuwapelekwa Libya kutakuwa na matokeo hatari kwa nchi zote jirani za Kiafrika.
-
Misri yatahadharisha kuhusu madola ya kigeni kuingilia masuala ya ndani ya Libya
Feb 02, 2020 23:36Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametahadharisha kuhusu madhara yanayosababishwa na madola ajinabi ya kuingilia masuala ya ndani ya Libya.
-
Watu 37 wahukumiwa kifo nchini Misri
Feb 01, 2020 23:11Mahakama moja nchini Misri imewahukumu adhabu ya kifo watu 37 akiwemo Hisham al Ashmawy afisa wa zamani wa jeshi la nchi hiyo aliyejiunga na magenge ya kigaidi.
-
Misri yawahukumu watu kadhaa kifungo cha maisha jela kwa kujiunga na Daesh
Jan 28, 2020 04:41Mahakama Cairo nchini Misri imewahukumu watu wasiopungua 37 vifungo mbalimbali vya jela kikiwemo kifungo cha maisha baada ya kupatikana na hatia ya kujiunga na kuliunga mkono genge la uhalifu lenye mfungamano na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Wanasheria wataka rais wa Misri atiwe mbaroni mjini London
Jan 20, 2020 20:47Kundi moja la mawakili wa Uingereza limetaka rais wa Misri atiwe mbaroni mara atakapofika mjini London.
-
Mazungumzo kuhusu bwawa la al-Nahdha yavunjika nchini Ethiopia
Jan 11, 2020 01:20Wizara ya Maji ya Misri imetangaza kuwa, mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea huko Addis Ababa kati ya nchi hiyo, Ethiopia na Sudan kuhusiana na bwawa na al-Nahdha yamevunjika baada ya pande husika kushindwa kufikia makubaliano.
-
Mkuu wa zamani wa jeshi la Misri aachiwa huru baada ya kuwa kizuizini kwa karibu miaka miwili
Dec 23, 2019 09:56Sami Anan Mkuu wa zamani wa jeshi la Misri ameachiwa huru kutoka kizuizini ambapo alikuwa akishikiliwa kwa karibu miaka miwili kwa kosa la kutaka kugombea kiti cha rais mwaka uliopita.
-
Misri yatoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina
Dec 05, 2019 06:56Mwakilishi wa kudumu wa Misri katika Umoja wa Mataifa ametilia mkazo udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina na kusema kuwa, amani na utulivu haviwezi kupatikana bila ya kuchukuliwa hatua hiyo.
-
Hamas: Madai ya usitishaji vita wa muda mrefu ni propaganda za uchaguzi za utawala wa Kizayuni
Dec 05, 2019 04:38Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitaja tetesi iliyoenea katika vyombo vya habari vya Kizayuni kuhusu jitihada za utawala huo za kufikia makubaliano ya usitishaji vita ya muda mrefu na Ukanda wa Ghaza kuwa ni propaganda za uchaguzi.
-
Shehena ya silaha kutoka Imarati yawasili nchini Libya
Nov 29, 2019 07:48Duru za habari nchini Misri zimeelezea kuwasili nchini Libya shehena ya silaha kutoka Imarati.