-
HRW: Maelfu ya watu wametoweka nchini Misri katika utawala wa al Sisi
Nov 21, 2019 04:05Ripoti iliyotayarishwa na shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa kushirikiana na Kituo cha Shihab na tasisi ya Uadilifu kwa Ajili ya Haki za Binadamu imesema kuwa, idadi ya jela nchini Misri imefikia 68 na kwamba jela 26 kati yazo zimejengwa katika kipindi cha utawala wa Rais wa sasa wa nchi hiyo Jenerali Abdel Fattah al Sisi.
-
Marekani yaikataza Misri kushirikiana na Russia, yaendelea kutoa vitisho dhidi ya Cairo
Nov 18, 2019 23:10Kwa mara nyingine Marekani imetoa vitisho vikali kwa Misri kutokana na uamuzi wake wa kununua ndege aina ya Sukhoi-35 kutoka Russia.
-
Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Misri kwa kununua ndege za kivita za Russia
Nov 16, 2019 07:47Mitazamo ya upande mmoja ya Marekani na juhudi za nchi hiyo za kuimarisha ubeberu wake duniani, ambazo zimepata kasi kubwa katika utawala wa Rais Donald Trump, imechukua muelekeo mpya ambao ulikuwa haujawahi kushuhudiwa huko nyuma.
-
Nchi za Ulaya zaeleza wasiwasi wao kuhusu rekodi mbaya ya haki za binadamu ya Misri
Nov 14, 2019 21:54Nchi kadhaa za Ulaya zimeishutumu serikali ya Misri kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, huku wanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa wakieleza wasiwasi wao kuhusu ongezeko la ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza katika nchi hiyo inayoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al Sisi.
-
Ikhwani yaitaka UN kuokoa maisha ya kiongozi wake aliyoko katika jela ya Misri
Oct 31, 2019 08:46Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imeutaka Umoja wa Mataifa na taasisi zote za kisheria na za kutetea haki za binadamu za kikanda na kimataifa kuokoa maisha ya kiongozi wake, Dakta Mohammed Badie anayeshikiliwa katika jela ya Misri tangu mwaka 2013.
-
Magaidi 13 wauawa katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri
Oct 29, 2019 12:23Maafisa wa serikali ya Misri wametangaza kuwa magaidi 13 wameuawa katika mapigano yaliyojiri baina yao na askari usalama katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini humo.
-
Bunge la Ulaya lailaani serikali ya Misri kwa kukiuka haki za binadamu
Oct 24, 2019 23:21Bunge la Ulaya linalokutana Strasbourg nchini Ufaransa limepasisha azimio la kuilaani serikali ya Misri kutokana na ukiukaji wake wa haki za binadamu.
-
Abiy Ahmed: Tukilazimika tutaingia vitani na Misri kwa ajili ya bwawa la El Nahdha
Oct 22, 2019 23:16Waziri Mkuu wa Ethiopia ametahadharisha kuwa, nchi hiyo itakusanya mamilioni ya wapiganaji iwapo italazimika kingia vitani na Misri katika mzozo wa ujenzi wa bwawa la El Nahdha juu ya maji ya Mto Nile.
-
Libya yahamishia nchini Misri wahamiaji haramu 95
Oct 17, 2019 23:55Serikali ya Libya imewahamishia nchini Misri makumi ya wahamiaji haramu wanaodaiwa kuwa na magonjwa ya kuambukiza.
-
Azma ya Ethiopia, Misri kuhusu mazungumzo ya ujenzi wa bwawa la Mto Nile
Oct 12, 2019 08:38Rais wa Misri Abdel-Fatah al-Sisi na waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed wamesisitiza umuhimu wa kuondoa vizuizi vyote vinavyokabili mazungumzo ya pande tatu juu ya Bwawa la GERD linalojengwa na Ethiopia kwenye Mto Nile.