-
Misri kuwauzia wageni uraia wa nchi hiyo kwa dola elfu kumi
Jul 08, 2019 06:57Bunge la Misri limekubaliana na mpango wa serikali ya nchi hiyo kwa kuwauzia uraia wageni kwa dola elfu kumi za Kimarekani licha ya baadhi ya wabunge kupinga suala hilo.
-
Ikhwanul Muslimin ya Misri yatangaza mikakati mipya baada ya kifo cha Morsi
Jun 30, 2019 21:00Kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri limetangaza mikakati yake mipya baada ya kufariki dunia Mohammad Morsi, mwanachama mwandamizi wa kundi hilo ambaye alikuwa rais wa kwanza wa Misri kuwahi kuchaguliwa kidemokrasia.
-
Mwana wa Morsi ahadithia alivyopewa maiti ya baba yake, asisitiza ameuawa
Jun 24, 2019 22:00Abdullah Morsi mwana wa kiume wa aliyekuwa rais wa Misri Muhammad Morsi aliyefariki dunia siku chache zilizopita akiwa kizimbani kusikiliza kesi iliyokuwa ikimkabili amehadithia jinsi alivyokabidhiwa mwili wa baba yake na jinsi alivyoaga dunia.
-
Misri: Rais Tayyip Erdoğan ana uhusiano na kundi la Ikhwanul Muslimin
Jun 21, 2019 03:32Serikali ya Misri kupitia Waziri wake wa Mambo ya Nje imemtuhumu Rais Tayyip Erdoğan wa Uturuki kuwa ana uhusiano na kundi la Ikhwanul Muslimin.
-
UN yataka Misri ifanye uchunguzi huru wa kifo cha Morsi
Jun 18, 2019 22:10Ofisi ya Kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa imesema ni matumaini yake kuwa uchunguzi huru na wa kina utafanyika juu ya mazingira ya kifo cha rais wa zamani wa Misri, Mohamed Morsi kilichotokea jana wakati akiwa mahakamani.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa taifa la Misri kufuatia kifo cha Mohammad Morsi
Jun 18, 2019 07:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mkono wa pole kwa familia ya Mohammed Morsi, kufuatia kifo tata cha rais huyo wa zamani wa Misri.
-
Muhammad Morsi aaga dunia mahakamani wakati kesi yake ikisikilizwa
Jun 17, 2019 15:33Muhammad Morsi rais wa kwanza kuchaguliwa kwa njia za kidemokrasia nchini Misri na kupinduliwa na jeshi ameaga dunia akiwa mahakamani kusikiliza kesi iliyokuwa ikimkabili.
-
Wapinzani Sudan wazitaka Saudia, Misri na Imarati ziache kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao
Jun 05, 2019 07:29Wapinzani wa utawala wa kijeshi nchini Sudan wamezitaka badhi ya nchi za Saudi Arabia, Imarati na Misri ziache kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo.
-
Askari 8 wa serikali wauawa Sinai Misri
Jun 05, 2019 06:58Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza habari ya kuuawa askari wanane wa serikali katika mkoa wa Sinai wa kaskazini mwa nchi hiyo.
-
HRW: Misri imetenda jinai za kivita katika mkoa wa Sinai
May 28, 2019 09:12Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Righs Watch (HRW) limesema kuwa askari usalama wa Misri wametenda jinai za kivita kwa kuwalenga kwa mashambulizi raia katika Peninsula ya Sinai kaskazini mwaMisri.