Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Ukosoaji wa Amnesty International kwa ukatili na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Misri

    Ukosoaji wa Amnesty International kwa ukatili na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Misri

    Sep 19, 2018 22:09

    Wakati serikali ya Rais Abdel Fattah el-Sisi inaendelea kuwabana na kuwakandamiza wapinzani kwa kutoa hukumu za adhabu kali dhidi yao Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limeeleza kwamba ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Cairo dhidi ya uhuru wa kutoa maoni tangu el-Sisi ashike hatamu za madaraka ya nchi ni wa "kiwango cha kutisha na haujawahi kushuhudiwa."

  • Amnesty International: Ukandamiza wa uhuru wa kujieleza Misri umevuka mpaka

    Amnesty International: Ukandamiza wa uhuru wa kujieleza Misri umevuka mpaka

    Sep 18, 2018 22:40

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza nchini Misri katika kipindi hiki cha utawala wa Abdel Fattah al Sisi umefikia kiwango cha tahadhari na haujawahi kuonekana nchini humo.

  • Wafungwa wa kisiasa wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Misri

    Wafungwa wa kisiasa wanakabiliwa na hali mbaya katika jela za Misri

    Sep 13, 2018 09:15

    Hali ya wafungwa wa kisiasa nchini Misri miaka mitano baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo inaripotiwa kuwa mbaya sana.

  • EU yalaani kuhukumiwa kifo wananchama wa Ikhwani, Misri

    EU yalaani kuhukumiwa kifo wananchama wa Ikhwani, Misri

    Sep 11, 2018 20:50

    Umoja wa Ulaya umelaani hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama moja nchini Misri, dhidi ya makumi ya wanachama wa harakati ya Ikhwanul Muslimin.

  • Wanachama 75 wa Ikhwanul Muslimin wahukumiwa kifo nchini Misri

    Wanachama 75 wa Ikhwanul Muslimin wahukumiwa kifo nchini Misri

    Sep 08, 2018 21:51

    Mahakama ya rufaa ya Misri imewahukumu adhabu ya kifo wanachama 75 wa kundi la Ikhwanul Muslimin kwa tuhuma za kuhusika katika matukio yanayojulikana kwa jina la "Rābiʿa al-ʿAdawiyya" kama ambavyo pia imewahukumu kifungo cha maisha jela wanachama wengine 46 wa kundi hilo.

  • Rais Sisi aidhinisha sheria inayodhibiti matumizi ya mitandao

    Rais Sisi aidhinisha sheria inayodhibiti matumizi ya mitandao

    Sep 02, 2018 22:15

    Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ameidhinisha sheria mpya ya kudhibiti mitandao ya kijamii katika kile kinachotajwa kuwa ni muendelezo wa sera za kukandamiza upinzani.

  • Wanaharakati Misri wataka kuachiwa huru wapinzani

    Wanaharakati Misri wataka kuachiwa huru wapinzani

    Aug 28, 2018 04:35

    Muungano wa wanaharakati wa kisekulari na mrengo wa kushoto nchini Misri umekemea hatua ya vyombo vya usalama nchini humo ya kuwatia nguvuni shakhsia kadhaa wa upinzani na kutoa wito wa kuachiwa huru wafungwa wote wasiokabiliwa na tuhuma za kuhusika na machafuko.

  • Saudia inadhamini nakisi ya bajeti yake kwa kuongeza gharama za Hija

    Saudia inadhamini nakisi ya bajeti yake kwa kuongeza gharama za Hija

    Aug 18, 2018 23:38

    Saudi Arabia inakidhi nakisi ya bajeti yake ya mwaka kwa kuzidisha gharama za ibada ya Hija, suala ambalo limewakasirisha mahujaji kutoka nchi mbalimbali hususan mahujaji kutoka Misri.

  • Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Serikali ya al Sisi inakandamiza wapinzani

    Jumuiya za kutetea haki za binadamu: Serikali ya al Sisi inakandamiza wapinzani

    Aug 16, 2018 23:19

    Jumuiya saba za kutetea haki za binadamu nchini Misri zimeikosoa serikali ya nchi hiyo zikisisitiza kuwa mienendo yake dhidi ya wapinzani inakiuka sheria.

  • Kiongozi wa Ikhwanul Muslimina ahukumiwa kifungo cha maisha jela, Misri

    Kiongozi wa Ikhwanul Muslimina ahukumiwa kifungo cha maisha jela, Misri

    Aug 12, 2018 22:22

    Kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimina ya Misri na maafisa wengine kadhaa wa ngazi za juu wa harakati hiyo wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa tuhuma za kuchochea mauaji na machafuko katika ghasia zilizotokea nchini humo miaka mitano iliyopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS