Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Al Sisi aanza mikakati ya kurefusha kipindi cha urais Misri

    Al Sisi aanza mikakati ya kurefusha kipindi cha urais Misri

    Aug 06, 2018 21:49

    Rais Abdul Fattah al Sisi wa Misri ameanzisha mikakati ya kurefusha kipindi cha rais wa nchi hiyo kutoka vipindi viwili hadi vitatu.

  • Wanamgambo 52 wauawa Sinai Misri

    Wanamgambo 52 wauawa Sinai Misri

    Aug 05, 2018 11:11

    Jeshi la Misri limetangaza kuwa limefanikiwa kuua wanamgambo 52 katika siku za hivi karibuni kwenye eneo la kaskazini mwa Rasi ya Sinai.

  • Gazeti la Al-Ahram: Siku zote Trump anaibua mgogoro duniani

    Gazeti la Al-Ahram: Siku zote Trump anaibua mgogoro duniani

    Aug 03, 2018 02:52

    Gazeti la Al-Ahram la nchini Misri limeashiria siasa za Rais Donald Trump wa Marekani duniani kwa kuandika kuwa, daima Trump anazusha migogoro duniani.

  • Askari wa Misri waliotekwa nyara Libya wakombolewa

    Askari wa Misri waliotekwa nyara Libya wakombolewa

    Jul 31, 2018 09:15

    Maafisa usalama wa Sudan wametangaza kuwa wanajeshi wa Misri waliokuwa wametekwa nyara katika mpaka wa kusini mwa Libya wamekombolewa.

  • Misri yatoa hukumu ya kunyongwa wafuasi 75 wa Ikhwanul Muslimin

    Misri yatoa hukumu ya kunyongwa wafuasi 75 wa Ikhwanul Muslimin

    Jul 28, 2018 09:36

    Mahakama ya Misri leo imetoa hukumu ya kunyongwa wafuasi 75 wa chama cha Ikhwanul Muslimin na sasa hukumu hiyo inasubiri idhini ya mufti wa nchi hiyo kabla ya kutekelezwa.

  • Rais wa Misri asaini sheria inayowapa kinga majenerali wa jeshi

    Rais wa Misri asaini sheria inayowapa kinga majenerali wa jeshi

    Jul 27, 2018 03:16

    Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri ameidhinisha sheria inayowapa kinga ya kufikishwa mahakamani majenerali wa jeshi wanaohusishwa na machafuko yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Rais wa kwanza kuchaguliwa kwa njia za kidemokrasia nchini humo; siku 10 baada ya Bunge la nchi hiyo kupasisha kwa kishindo muswada wa sheria hiyo.

  • Magaidi 13 waangamizwa na polisi ya Misri Peninsula ya Sinai

    Magaidi 13 waangamizwa na polisi ya Misri Peninsula ya Sinai

    Jul 26, 2018 02:01

    Jeshi la Polisi la Misri limetangaza habari ya kuua wanachama 13 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.

  • Kituo cha Fatwa Misri: Kuna ushahidi kwamba Israel inawasaidia magaidi wa Daesh

    Kituo cha Fatwa Misri: Kuna ushahidi kwamba Israel inawasaidia magaidi wa Daesh

    Jul 25, 2018 08:42

    Kituo cha fatwa nchini Misri kimetangaza kwamba, kuna ushahidi madhubuti kwamba utawala haramu wa Israel unalisaidia kundi la kigaidi la Daesh na makundi mengine ya Kiwahabi yanayohusika na machafuko nchini Syria.

  • Bunge la Misri lapasisha sheria inayowapa kinga majenerali wa jeshi

    Bunge la Misri lapasisha sheria inayowapa kinga majenerali wa jeshi

    Jul 16, 2018 22:25

    Bunge la Misri Jumatatu ya jana lilipasisha sheria inayowapa kinga ya kufikishwa mahakamani majenerali wa jeshi wanaohusishwa na machafuko yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Rais wa kwanza kuchaguliwa kwa njia za kidemokrasia nchini humo. Maelfu ya raia wa Misri walimiminika mitaani kupinga mapinduzi ya jeshi yaliyomuondoa madarakani Mohamed Mursi.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 11 Peninsula ya Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 11 Peninsula ya Sinai

    Jul 11, 2018 09:03

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuua wanachama 11 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS