-
Al-Sisi asafishiwa njia kutetea kiti cha urais baada ya wapinzani wake kutiwa mbaroni au kujitoa
Jan 25, 2018 03:58Mpinzani wa Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri katika kinyang'anyiro cha uchaguzi ujao wa Rais ametangaza kujitoa katika mbio hizo hatua ambayo inamsafishia njia Rais wa sasa wa nchi hiyo kutetea kiti chake.
-
Ethiopia yakataa upatanishi wa Benki ya Dunia katika mgogoro wake na Misri
Jan 22, 2018 22:59Waziri Mkuu wa Ethiopia amekataa pendekezo la Misri la kuitaka Benki ya Dunia kuwa mpatanishi katika mgogoro wa ujenzi wa bwawa unaofanywa na serikali ya Addis Ababa juu ya Mto Nile.
-
Al Sisi kuwania urais wa Misri kwa muhula wa pili katika uchaguzi wa Machi
Jan 20, 2018 03:42Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kuwa atawania muhula wa pili wa urais katika uchaguzi wa mwezi Machi ambapo anatazamiwa kushinda.
-
Mkutano wa al-Azhar: Baytul-Muqaddas ni mji mkuu wa milele wa Palestina
Jan 19, 2018 00:44Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa kuunga mkono Quds uliofanyika katika Chuo Kikuu cha al-Azhar huko Cairo Misri umesisitiza umuhimu wa kutangazwa Baytul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa milele wa Palestina.
-
Russia: Habari kwamba tunataka kufungua kambi za kijeshi Libya na Misri ni uongo
Jan 13, 2018 10:32Mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza la Shirikisho la Russia amesema kuwa, serikali ya Moscow, haina nia yoyote ya kuanzisha kambi za kijeshi katika nchi za Misri na Libya.
-
Qatar: Iran ingelitaka ingeliweza kututesa kwa njaa
Jan 11, 2018 12:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, lau ingelitaka, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ingeliweza kutumia tofauti zake za kisiasa na Doha kuwatesa kwa njaa wananchi wa Qatar, lakini kamwe haikufanya hivyo.
-
Misri yatangaza hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu
Jan 10, 2018 04:19Bunge la Misri limetangaza kurefusha muda wa hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine ambao ulianza kutekelezwa mwezi Aprili mwaka jana baada ya kujiri mashambulizi makubwa katika makanisa ya Wakristo wa Kikopti nchini humo.
-
Iran na Misri zatoa wito wa kuendelea kuungwa mkono Palestina
Jan 09, 2018 12:28Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuendelea kuungwa mkono kadhia ya Palestina.
-
Sudan yaishitaki Misri UNSC kuhusiana na eneo la Hala'ib, mzozo watokota
Jan 09, 2018 04:16Serikali ya Sudan kwa mara nyingine imewasilisha mashitaka yake dhidi ya Misri katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Cairo kudhibiti eneo la Hala'ib linalozozaniwa.
-
Magaidi kadhaa waangamizwa al Arish, Misri
Jan 08, 2018 12:12Duru za kiusalama za Misri zimetangaza habari ya kuuawa magaidi kadhaa katika opereseheni iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo mashariki mwa mji wa al Arish, makao makuu wa jimbo la Sinai Kaskazini.