-
Iran na Misri zatoa wito wa kuendelea kuungwa mkono Palestina
Jan 09, 2018 12:28Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuendelea kuungwa mkono kadhia ya Palestina.
-
Sudan yaishitaki Misri UNSC kuhusiana na eneo la Hala'ib, mzozo watokota
Jan 09, 2018 04:16Serikali ya Sudan kwa mara nyingine imewasilisha mashitaka yake dhidi ya Misri katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Cairo kudhibiti eneo la Hala'ib linalozozaniwa.
-
Magaidi kadhaa waangamizwa al Arish, Misri
Jan 08, 2018 12:12Duru za kiusalama za Misri zimetangaza habari ya kuuawa magaidi kadhaa katika opereseheni iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo mashariki mwa mji wa al Arish, makao makuu wa jimbo la Sinai Kaskazini.
-
Uhusiano wa Sudan na Misri wazidi kuharibika; Khartoum yamwita nyumbani balozi wake
Jan 05, 2018 00:52Uhusiano wa Sudan na Misri umezidi kuharibika baada ya serikali ya Khartoum kumwita nyumbani balozi wake aliyeko Cairo Misri.
-
Misri yawanyonga washukiwa wengine wanne wa ugaidi
Jan 02, 2018 10:53Mamlaka ya Magereza ya Misri imetekeleza hukumu ya kuwanyonga watu watano wakiwemo wanne waliopatikana na hatia ya kutekeleza mashambulizi ya bomu yalioua maafisa usalama miaka miwili iliyopita.
-
Mursi aendelea kuandamwa na vifungo, ahukumiwa miaka mitatu mingine jela
Dec 30, 2017 11:20Rais aliyeuzuliwa madarakani wa Misri, Muhammad Mursi amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa tuhuma za kuvivunjia heshima vyombo vya mahakama vya nchi hiyo.
-
Kumi wauawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya kanisa, Cairo
Dec 29, 2017 13:14Wizara ya Afya ya Misri imetangaza kuwa, watu 10 wakiwemo askari kadhaa wa usalama wameuawa katika hujuma ya watu waliokuwa na silaha iliyolenga kanisa moja katika eneo la Halwan kusini mwa jiji la Cairo.
-
Askari 6 wa Misri wauawa katika shambulizi la bomu eneo la Sinai
Dec 29, 2017 04:31Wanajeshi sita wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea jana Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Radiamali ya Cairo kwa hatua ya Uturuki ya kukurubia mipaka ya Misri
Dec 29, 2017 01:00Afisa wa zamani katika jeshi la Misri amesema kuwa Cairo iko tayari kujibu tishio kuhusu hatua ya Sudan ya kuipatia Uturuki kisiwa cha Suakin.
-
Watetezi wa haki za binadamu Misri walaani kunyongwa washukiwa wa ugaidi
Dec 28, 2017 04:20Mashirika saba ya kutetea haki za binadamu nchini Misri yamekosoa vikali hatua ya Misri kuwanyonga watu 15 waliopatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.