-
George Weah ashinda urais Liberia, amshukuru Arsene Wenger, Jacob Zuma ampongeza
Dec 27, 2017 12:23Bingwa wa zamani wa dunia wa mpira wa miguu, George Weah ameshinda katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa nchi ya magharibi mwa Afrika ya Liberia kwa kukomba kaunti 12 kati ya 15 za nchi hiyo zilizopiga kura.
-
Mgogoro wa Sudan na Misri wapanuka zaidi
Dec 26, 2017 23:14Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imeuandikia barua ya wazi Umoja wa Mataifa ikitangaza upinzani wake dhidi ya kile kilichotajwa kuwa ni makubaliano ya kuainisha mipaka ya nchi kavu kati ya Saudi Arabia na Misri.
-
Misri yawanyonga magaidi 15 walioua askari usalama Sinai
Dec 26, 2017 11:50Misri imewanyonga watu 15 waliopatikana na hatua ya kufanya mashambulizi ya kigaidi yaliyoua askari usalama huko kaskazini mwa Peninsula ya Sinai.
-
Kuwapokonya uraia wapinzani, silaha mpya inayotumiwa na serikali ya Abdel Fattah el Sisi nchini Misri
Dec 24, 2017 23:16Serikali ya Rais Abdel Fattah el Sisi ya Misri imeamua kutumia silaha ya kuwavua uraia wapinzani wake katika wakati huu wa kukaribia uchaguzi wa rais nchini humo wa mwaka 2018.
-
Sudan: Hatutaitambua mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudia
Dec 21, 2017 12:47Sudan imewasilisha taarifa kwa Umoja wa Mataifa ikieleza kwamba endapo mipaka mipya ya majini iliyowekwa na Misri na Saudi Arabia itapitishwa rasmi haitoitambua katu mipaka hiyo.
-
Fayez al Sarraj aitolea wito Algeria kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa ya Libya
Dec 18, 2017 11:00Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya ameitaka Algeria ishiriki pakubwa katika kusogeza mbele mazungumzo ya kusaka amani ya nchi yake.
-
Sisisitizo la Ufaransa na Misri la kuimarisha uhusiano wao wa kijeshi
Dec 17, 2017 08:57Paris na Cairo zimesisitizia azma yao ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyuga tofauti za kijeshi na kiusalama.
-
Al Azhar yataka kufanyika mkutano wa kimataifa kujadili suala la Quds
Dec 10, 2017 10:57Sheikh Mkuu wa al Azhar ya Misri ametahadharisha kuhusu taathira za uamuzi wa Trump wa kuutambua rasmi mji mtakatifu wa Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni na kutaka kufanyika mkutano wa kimataifa wa kujadili suala hilo.
-
Mkuu wa Wakristo wa Misri akataa kuonana na Naibu wa Trump
Dec 09, 2017 23:25Mkuu wa Wakristo wa Qibti nchini Misri amekataa kuonana na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, kutokana na Donald Trump kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Sheikh Mkuu wa Azhar afuta mkutano na Makamu wa Rais wa Marekani
Dec 09, 2017 03:59Imam Mkuu wa Msikiti wa al Azhar nchini Misri amefutilia mbali mkutano uliotazamiwa kufanyika hivi karibuni kati yake na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, ikiwa ni radiamali kwa kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.