Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Misri, Algeria, Tunisia zalaani uamuzi wa Trump kuhusu Quds

    Dec 07, 2017 04:05

    Nchi za Kiafrika za Misri, Tunisia na Algeria zimetoa taarifa tofauti za kulaani uamuzi wa rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • Misri yamuonya Trump dhidi ya kuvuruga mambo Mashariki ya Kati

    Misri yamuonya Trump dhidi ya kuvuruga mambo Mashariki ya Kati

    Dec 06, 2017 04:20

    Rais Abdulfattah al-Sisi wa Misri amemtahadharisha mwenzake wa Marekani Donald Trump dhidi ya kuhamishia ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi mji mtukufu wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 5 kaskazini mwa Cairo

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 5 kaskazini mwa Cairo

    Dec 05, 2017 04:36

    Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza wanachama watano wa magenge ya ukufurishaji baada ya kushambulia maficho yao kaskazini mwa mji mkuu, Cairo.

  • Uzayuni wa kimataifa ndio uliofanya shambulizi la kigaidi Sinai Misri

    Uzayuni wa kimataifa ndio uliofanya shambulizi la kigaidi Sinai Misri

    Nov 29, 2017 12:53

    Mchambuzi mkuu wa gazeti kubwa zaidi binafsi la nchini Misri amesema kuwa, Uzayuni wa kimataifa ndio uliohusika katika mauaji ya umati yaliyofanyika Ijumaa iliyopita katika msikiti mmoja mkubwa kwenye Rasi ya Sinai, kaskazini mwa Misri.

  • Shakhsia 270 wa kisiasa wa Misri waanzisha kampeni ya kususia uchaguzi ujao wa rais

    Shakhsia 270 wa kisiasa wa Misri waanzisha kampeni ya kususia uchaguzi ujao wa rais

    Nov 29, 2017 01:35

    Mamia ya shakhsia wa kisiasa nchini Misri wameanzisha kampeni maalumu ya kuwahamasisha wananchi wasusie kushiriki uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo.

  • Frankfurter Allgemeine: Utendaji mbaya wa serikali ya al Sisi unachochea ugaidi

    Frankfurter Allgemeine: Utendaji mbaya wa serikali ya al Sisi unachochea ugaidi

    Nov 27, 2017 11:35

    Gazeti la Frankfurter Allgemeine Zeitung linalochapishwa nchini Ujerumani limeshambulia vikali utendaji mbaya wa serikali ya Rais Abdul Fattah al Sisi nchini Misri na kusema inahusika kwa njia moja au nyingine katika kuchochea ugaidi.

  • Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran

    Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran

    Nov 27, 2017 04:41

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amemwalika rasmi Sheikh wa al Azhar nchini Misri kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaoanza tarehe 4 mwezi ujao wa Disemba hapa mjini Tehran.

  • Vyama vya siasa Misri vyalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Msikiti wa al Rawdhah

    Vyama vya siasa Misri vyalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Msikiti wa al Rawdhah

    Nov 26, 2017 04:51

    Vyama mbalimbali vya kisiasa nchini Misri vimelaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Msikiti wa al Rawdhah katika mji wa al Arish makao makuu ya mkoa wa Sinai Kaskazini na kutangaza kuwa kuna njama zinatekelezwa kutoka nje ili kuzusha hali ya mchafukoge nchini humo.

  • Viongozi wa Iran waendelea kulaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Waislamu msikitini Misri

    Viongozi wa Iran waendelea kulaani shambulizi la kigaidi dhidi ya Waislamu msikitini Misri

    Nov 25, 2017 12:50

    Viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameendelea kulaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala ya Ijumaa msikitini katika eneo la Sinai nchini Misri na kuua mamia ya watu wasio na hatia yoyote.

  • Iran yalaani vikali  hujuma ya kigaidi msikitini Misri

    Iran yalaani vikali hujuma ya kigaidi msikitini Misri

    Nov 25, 2017 04:19

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hujuma ya kigaidi wakati wa Sala ya Ijumaa msikitini katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS