Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Watu 235 wauawa katika shambulizi dhidi ya msikiti huko Sinai, Misri

    Watu 235 wauawa katika shambulizi dhidi ya msikiti huko Sinai, Misri

    Nov 24, 2017 10:45

    Kwa akali watu 185 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya msikiti mmoja katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.

  • Wapinzani Misri: Mbinu ya serikali ya Cairo ya kuwakandamiza wapinzani imetoka Saudia

    Wapinzani Misri: Mbinu ya serikali ya Cairo ya kuwakandamiza wapinzani imetoka Saudia

    Nov 19, 2017 00:33

    Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa zamani na mwanaharakati wa kisiasa nchini Misri, amesema kuwa, serikali ya Cairo imeanzisha ukandamizaji dhidi ya wapinzani kwa kutumia mbinu ya utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia.

  • Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika

    Algeria: Magaidi wa Daesh wanakusudia kuweka kambi katika nchi za kaskazini mwa Afrika

    Nov 16, 2017 04:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ametahadharisha kwamba, wanachama wa kundi hatari la kigaidi na kitakfiri la Daesh, wanakusudia kuweka kambi na kujizatiti katika nchi za kaskazini mwa Afrika.

  • Mahakama ya Misri yapitisha adhabu ya kifungo cha maisha jela aliyopewa kiongozi wa Ikhwanul Muslimin

    Mahakama ya Misri yapitisha adhabu ya kifungo cha maisha jela aliyopewa kiongozi wa Ikhwanul Muslimin

    Nov 16, 2017 00:48

    Mahakama ya Rufaa ya Misri imepitisha adhabu ya kifungo cha maisha jela aliyohukumiwa Muhammad Badie, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo ya Ikhwanul Muslimin pamoja na wanachama wengine kadhaa wa harakati hiyo kwa kuhusishwa na matukio ya Julai 5 mwaka 2013 katika mji wa Ismailiyyah.

  • Magaidi 10 waangamizwa katika Rasi ya Sinai nchini Misri

    Magaidi 10 waangamizwa katika Rasi ya Sinai nchini Misri

    Nov 11, 2017 04:07

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuangamizwa magaidi 10 katika mkoa wa Sinai Kaskazini wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Watu 10 wauawa katika shambulizi la ISIS eneo la Sinai, Misri

    Watu 10 wauawa katika shambulizi la ISIS eneo la Sinai, Misri

    Nov 10, 2017 11:15

    Kwa akali watu 10 wameuawa katika shambulizi la kundi la kigaidi lenye mafungamano la genge la kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Sinai nchini Misri.

  • El-Sisi: Magaidi wa Daesh walioshindwa Iraq na Syria ni hatari kwa Libya na Misri

    El-Sisi: Magaidi wa Daesh walioshindwa Iraq na Syria ni hatari kwa Libya na Misri

    Nov 09, 2017 11:35

    Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri ametoa tahadhari juu ya hatari ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh walioshindwa nchini Iraq na Syria kuingia Libya na kuchafua zaidi usalama wa nchi hiyo na majirani wake.

  • Kutofuata Misri siasa za Saudia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Kutofuata Misri siasa za Saudia dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Nov 09, 2017 10:07

    Rais wa Misri amesema kuwa licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi nyingine za Kiarabu kuiwekea vikwazo Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, serikali ya Cairo haina mpango wowote wa kutekeleza vikwazo hivyo dhidi ya harakati hiyo.

  • Misri yakataa kuburuzwa na Saudia; yapinga vikwazo  dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Misri yakataa kuburuzwa na Saudia; yapinga vikwazo dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Nov 08, 2017 04:22

    Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri amesisitiza kuwa, licha ya Saudi Arabia kuzitaka nchi za Kiarabu ziiwekee vikwazo Hizbullah ya Lebanon lakini Cairo haina nia kabisa ya kufanya hivyo.

  • Rais Al-Sisi wa Misri: Ninaheshimu katiba, sitagombea uchaguzi wa mwakani

    Rais Al-Sisi wa Misri: Ninaheshimu katiba, sitagombea uchaguzi wa mwakani

    Nov 07, 2017 23:25

    Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, hatojiandikisha kwa jili ya kugombea tena ushaguzi wa rais ujao kwa muhula wa tatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS