-
Watu wanne wauawa katika shambulizi la roketi Sinai, Misri
Oct 31, 2017 10:17Raia wanne wamepoteza maisha katika shambulizi la roketi lililotokea leo Jumanne katika mji wa Arish, katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
-
Polisi 12 wauawa na kujeruhiwa nchini Misri
Oct 30, 2017 00:29Duru za usalama za Misri zimetangaza habari ya kushambuliwa gari la polisi wa nchi hiyo na watu wenye silaha katika mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Wafungwa zaidi ya elfu moja wa jela ya Tora Misri waanza mgomo wa kula
Oct 28, 2017 11:59Wafungwa wa jela yenye ulinzi mkali ya Tora mjini Cairo Misri wameanza mgomo wa kula chakula wakipinga mazingira mabaya yanatotawala jela hiyo.
-
Wanamgambo wa Hasm waua maafisa wasiopungua 30 wa polisi nchini Misri
Oct 21, 2017 00:50Mapigano yaliyotokea jana Ijumaa kati ya maafisa wa polisi na wanamgambo wa kundi la Hasm huko kusini mwa mji mkuu Cairo yamepelekea maafisa wasiopungua 30 wa polisi kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Magaidi wavunja benki na kushambulia kanisa Misri, 7 wauawa
Oct 16, 2017 10:28Kwa akali watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya genge moja la kigaidi kuvamia benki na kuiba, sambamba na kushambulia kanisa katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.
-
Jeshi la Misri laangamiza wanachama 24 wa Daesh eneo la Sinai
Oct 16, 2017 04:32Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuwaua wanachama 24 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa nchi.
-
Wanajeshi sita wa Misri wauawa katika shambulio la kigaidi Sinai
Oct 13, 2017 11:20Watu wanaoaminika kuwa magaidi wakufurishaji wamewapiga risasi na kuwaua wanajeshi sita wa Misri katika eneo lililokumbwa na misukosuko la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Misri yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi 3
Oct 12, 2017 10:36Kwa mara nyingine tena serikali ya Misri imeongeza muda wa sheria ya hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine.
-
Kiongozi wa zamani wa Ikhwanul Muslimin afariki dunia
Sep 23, 2017 04:16Kiongozi mkuu wa zamani wa Harakati ya Ikhwanul Muslimin Mohammad Mahdi Akef, ameaga dunia Ijumaa mjini Cairo akiwa na umri wa miaka 89.
-
Misri: Kuna ulazima wa kutekeleza matakwa yaliyowasilishwa kwa Qatar
Sep 19, 2017 03:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa nchi nne zilizoiwekea vikwazo Qatar ziko tayari kutatua mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.