-
Muhammad Mursi ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kushirikiana na Qatar
Sep 16, 2017 23:40Mahakama moja nchini Misri imemuhukumu rais wa zamani wa Misri, Muhammad Mursi kifungo cha maisha jela.
-
Wamisri wataka wapinzani wa serikali ya Syria wafukuzwe nchini kwao
Sep 12, 2017 10:29Wananchi wa Misri wameitaka serikali ya nchi hiyo kuwatimua wapinzani wa serikali ya Syria walioko nchini humo.
-
Askari polisi 18 wa Misri wauawa Sinai; IS yatangaza kuhusika
Sep 11, 2017 11:16Askari polisi wasiopungua 18 wa Misri wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati bomu liliporipuka karibu na msafara wa kikosi cha usalama katika Rasi ya Sinai kaskazini mwa nchi hiyo leo.
-
UN: Mateso yaliyoratibiwa yanafanyika katika jela za Misri
Sep 08, 2017 12:26Kamati ya Kimataifa ya Kupambana na Mateso ya Umoja wa Mataifa imeripoti habari kuhusu mateso yaliyoratibiwa yanayofanyika nchini Misri.
-
Human Rights Watch yaikosoa serikali ya Misri kwa kufanya jinai dhidi ya binadamu
Sep 06, 2017 07:42Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetangaza kuwa mateso yanayofanyika katika jela za Misri ni jinia dhidi ya binadamu.
-
Misri na Marekani kuanza tena maneva baada ya kusimamishwa kwa miaka 8
Sep 06, 2017 02:37Misri imetangaza kuwa itaanza tena kufanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Marekani baada ya kusimamishwa kwa takriban miaka minane.
-
Misri yawaweka mamia ya wanachama wa Ikhwani katika orodha ya magaidi
Aug 30, 2017 10:57Serikali ya Misri imeweka watu 350 akthari yao wakiwa wanachama wa harakati ya Ikhwanul Muslimin katika orodha yake ya magaidi.
-
Mahakama ya Misri yawahukumu kifungo cha maisha watu 25
Aug 29, 2017 10:24Mahakama nchini Misri imewahukumu watu 25 kifungo cha maisha jela kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya utumiaji mabavu ya mwaka 2015 nchini humo.
-
Misri yalalamikia hatua ya Marekani ya kuikatia misaada
Aug 24, 2017 09:22Serikali ya Misri imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuikatia misaada nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kutahadharisha juu ya taathira hasi inayoikodolea macho Washington kutokana na kitendo chake hicho.
-
Raia 12 watiwa mbaroni Misri kwa kujihusisha na biashara ya viungo vya binadamu
Aug 24, 2017 03:09Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza kuwa, imewatia mbaroni watu 12 wakiwemo madaktari na wauguzi kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya magendo ya viungo vya binadamu.