Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Amnesty yalaani kukingiwa kifua wauaji wa raia Rabi'a al-Adawiyya, Misri

    Amnesty yalaani kukingiwa kifua wauaji wa raia Rabi'a al-Adawiyya, Misri

    Aug 15, 2017 11:46

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufikishwa mahakamani maafisa na watu wote waliohusika na mauaji ya raia katika Medani ya Rabi'a al-Adawiyya katika mji mkuu wa Misri, Cairo.

  • Makumi wafariki dunia katika ajali ya garimoshi Alexandria, Misri

    Makumi wafariki dunia katika ajali ya garimoshi Alexandria, Misri

    Aug 11, 2017 11:48

    Makumi ya watu wameaga dunia na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika ajali ya garimoshi iliyotokea adhuhuri ya leo katika mkoa wa Alexandria nchini Misri.

  • Magaidi waliohusika na mauaji ya Wakristo wa Kicopti nchini Misri, wauawa

    Magaidi waliohusika na mauaji ya Wakristo wa Kicopti nchini Misri, wauawa

    Aug 10, 2017 23:45

    Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Misri imetangaza habari ya kuuawa magaidi watatu wanaodhaniwa kuhusika na shambulizi lililowalenga Wakristo wa Kicopti kusini mwa nchi hiyo.

  • Polisi wanne wa Misri wauawa katika shambulizi la Daesh eneo la Sinai

    Polisi wanne wa Misri wauawa katika shambulizi la Daesh eneo la Sinai

    Aug 10, 2017 10:12

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daeh (ISIS) limekiri kutekeleza shambulizi dhidi ya gari la polisi ya Misri na kuua maafisa wanne wa usalama katika eneo la Sinai.

  • Ripoti: Serikali ya Misri imeua raia 135 kinyume cha sheria

    Ripoti: Serikali ya Misri imeua raia 135 kinyume cha sheria

    Aug 07, 2017 12:04

    Taasisi ya Kuratibu Masuala ya Haki za Binadamu na Uhuru nchini Misri imefichua kwamba, karibu watu 135 wameuawa kinyume cha sheria nchini humo katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu wa 2017.

  • Mufti wa zamani Misri atahadharisha kuhusu mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu Magharibi

    Mufti wa zamani Misri atahadharisha kuhusu mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu Magharibi

    Aug 01, 2017 01:28

    Mufti wa zamani wa Misri ametahadharisha kuhusu athari mbaya za mfumo wa elimu unaopiga vita Uislamu katika nchi za Magharibi.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 40 katika eneo la Sinai

    Jul 26, 2017 03:13

    Jeshi la Misri limefanikiwa kuangamiza makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi, katika operesheni yake yenye lengo la kuwafuta kabisa magaidi wenye misimamo mikali ambao wanaendeleza harakati zao katika Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Misri yawahukumu maisha jela wanaharakati 43 wa Ikhwani

    Misri yawahukumu maisha jela wanaharakati 43 wa Ikhwani

    Jul 25, 2017 22:38

    Mahakama ya Jinai ya Misri imewahukumu wanaharakati 43 wa harakati ya Ikhwanul Muslimin kifungo cha maisha jela kwa madai kwamba wamepatikana na hatia ya kushiriki maandamano dhidi ya serikali.

  • Watu 7 wauawa katika shambulio la bomu Sinai, Misri

    Watu 7 wauawa katika shambulio la bomu Sinai, Misri

    Jul 25, 2017 09:51

    Raia 7 wakiwemo watoto wawili wameuawa katika shambulio la bomu la kutegwa garini katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa Misri.

  • Mahakama ya Misri yawahukumu kifo watu 28 kwa tuhuma ya kumuua Mwanasheria Mkuu

    Mahakama ya Misri yawahukumu kifo watu 28 kwa tuhuma ya kumuua Mwanasheria Mkuu

    Jul 22, 2017 12:23

    Mahakama ya Jinai ya Cairo nchini Misri imewahukumu kifo watu 28 kati ya 67 wanaotuhumiwa kumuua aliyekuwa mwanasheria mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS