Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mkutano wa Umoja wa Kiislamu

  • Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran

    Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran

    Sep 19, 2024 06:48

    Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel utashindwa

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel utashindwa

    Oct 04, 2023 02:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mchezo wa kamari wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni mithili ya kubeti juu ya farasi asiyeshinda katika mashindano, kwa sababu leo hii harakati ya Wapalestina iko hai na ina utayari zaidi kuliko wakati mwingine wowote, na utawala wa Kizayuni unaelekea katika kifo.

  • Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu

    Kiongozi Muadhamu azitaka nchi za Kiislamu kushikamana kukabiliana na mabeberu

    Oct 03, 2023 12:25

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.

  • Rais wa Iran afungua Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu

    Rais wa Iran afungua Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu

    Oct 01, 2023 13:48

    Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limeanza leo jijini Tehran kwa hotuba ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran

    Mkutano wa 36 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran

    Oct 09, 2022 14:25

    Mkutano wa 36 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatarajiwa kufanyika wiki ijayo hapa jijini Tehran kwa kuhudhuriwa na makumi ya shakhsia wa kidini wa ndani na nje ya nchi kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja.

  • Mufti Mkuu wa Croatia: Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya nchi za Kiislamu

    Mufti Mkuu wa Croatia: Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya nchi za Kiislamu

    Oct 20, 2021 13:27

    Mufti Mkuu wa Waislamu wa Croatia amesema, Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni kiriri cha kuelezea hali ya sasa ya nchi za Kiislamu.

  • Spika Qalibaf: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel hakutadumu

    Spika Qalibaf: Kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel hakutadumu

    Oct 29, 2020 12:18

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu baadhi ya watawala wa nchi za Kiislamu ambao wameanzisha uhusiano wa kawaiada na utawala haramu wa Israel na kusema kuwa, viongozi wa mataifa hayo wanapasa kutambua kwamba, hilo halitadumu lakini doa baya katika historia litabakia kwa jina lao mbele ya wananchi wa mataifa ya Kiislamu na watu huru duniani.

  • Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali

    Kiongozi: Kufutwa Israel maana yake ni wamiliki wa asili wa Palestina kuweza kuchagua serikali

    Nov 15, 2019 13:53

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kufutwa Israel kuna maana ya kuondolewa utawala bandia wa Kizayuni na mahala pake kuchukuliwa na serikali iliyochaguliwa na wamiliki wa asili wa Palestina ambao ni Waislamu, Wakristo na Mayahudi.

  • Harakati ya Hizbullah ya Lebanon yasisitiza kutetewa Palestina

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon yasisitiza kutetewa Palestina

    Nov 15, 2019 07:57

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza udharura wa kuungwa mkono na kutetewa taifa madhulumu la Palestina.

  • Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu

    Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu

    Nov 14, 2019 10:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS