Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Movahedi Kermani

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Muamala wa Karne utafeli tu

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Muamala wa Karne utafeli tu

    Jan 31, 2020 12:23

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameilaani Marekani kwa kuanzisha njama mpya dhidi ya Waislamu kwa jina la "Muamala wa Karne" na kusema kuwa, njama hizo zitafeli na kushindwa tu.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani njama za maadui dhidi ya Iran

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran alaani njama za maadui dhidi ya Iran

    Dec 13, 2019 11:34

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesisitiza udharura wa kutatuliwa matatizo ya kimaisha ya wananchi hususan baada ya kupandishwa bei ya mafuta hapa nchini

  • Ayatullah Movahedi-Kermani: Marekani ndiye muhusika mkuu wa matatizo ya Iraq

    Ayatullah Movahedi-Kermani: Marekani ndiye muhusika mkuu wa matatizo ya Iraq

    Nov 01, 2019 13:58

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria matukio yanayoendelea hivi sasa nchini Iraq na kusisitiza kwamba tangu miaka 16 iliyopita, serikali ya Marekani ilikuwa ikiiba zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta ya nchi hiyo ya Kiarabu kwa kisingizio cha kufidia gharama za vita.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Marekani sasa imeamua kutumia silaha ya uongo dhidi ya Iran

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Marekani sasa imeamua kutumia silaha ya uongo dhidi ya Iran

    Sep 20, 2019 14:55

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuhusu uzushaji tuhuma wa Marekani dhidi ya Iran katika kadhia ya Yemen kwamba: Marekani imeamua kutumia silaha ya uongo dhidi ya Iran.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Iran itakabiliana na sera za kujitanua za Marekani

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Iran itakabiliana na sera za kujitanua za Marekani

    Aug 09, 2019 12:16

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran amesema kuwa Iran imesimama imara na kuwa macho mbele ya sera za kupenda kujitanua za Marekani na kusisitiza kuwa, Marekani imeshindwa kuyaangusha Mapinduzi ya Kiislamu na haiba na udhibiti wake umeporomoka.

  • Ayatullah Kermani: Marekani inaogopeshwa sana na uwezo wa kiulinzi wa Iran

    Ayatullah Kermani: Marekani inaogopeshwa sana na uwezo wa kiulinzi wa Iran

    Jul 05, 2019 15:16

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amejibu matamshi ya rais wa Marekani juu ya sababu iliyoifanya Washington kujiepusha kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, viongozi wa Marekani wanaogopa uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa Iran.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran; Khorramshahr ni nembo ya mmapambano ya wananchi wa Iran

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran; Khorramshahr ni nembo ya mmapambano ya wananchi wa Iran

    May 24, 2019 12:28

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran ametoa mkono wa fanaka na kupongeza kuwadia maadhimisho ya kukombolewa mji wa Khoramshahr ilioko huko kusini magharibi mwa Iran na kueleza kuwa mji huo ni nembo ya imani, muqawama, ujasiri na ghera ya wananchi wa Iran.

  • Ayatullah Movahedi-Kermani: Safari ya Rais Assad hapa Tehran inaonyesha uwezo mkubwa wa Iran

    Ayatullah Movahedi-Kermani: Safari ya Rais Assad hapa Tehran inaonyesha uwezo mkubwa wa Iran

    Mar 01, 2019 16:21

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari ya Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Tehran ni tukio la kihistoria linaloakisi uwezo mkubwa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo zima la Mashariki ya Kati.

  • Ayatullah Movahedi-Kermani: Mapambano dhidi ya utakatishaji fedha na ugaidi, ni uongo mkubwa wa Wamagharibi

    Ayatullah Movahedi-Kermani: Mapambano dhidi ya utakatishaji fedha na ugaidi, ni uongo mkubwa wa Wamagharibi

    Jan 18, 2019 15:56

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Mohammad Ali Movahedi-Kermani amesema kwamba, lengo la kuundwa kundi eti la kumbana na utakatishaji wa fedha chafu la Financial Action Task Force (FATF) ni kufuatilia vyanzo vya fedha vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi nyingine.

  • Ayatullah Movahedi-Kermani: Njama za hivi karibuni za Marekani dhidi ya Iran zitagonga mwamba

    Ayatullah Movahedi-Kermani: Njama za hivi karibuni za Marekani dhidi ya Iran zitagonga mwamba

    Dec 07, 2018 15:03

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, njama zote za Marekani dhidi ya taifa la Iran mpaka leo hazijafanikiwa na dola hilo la magharibi lipo katika njia ya kusambaratika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS