Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Movahedi Kermani

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Zama za ubabe wa Marekani zimepita

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Zama za ubabe wa Marekani zimepita

    Nov 02, 2018 16:14

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezungumzia harakati zilizodhidi ya Iran zinazofanywa na Marekani na kusisitiza kuwa, maafisa wa serikali ya Washington akiwemo Rais wa Marekani Donald Trump wanapaswa kuelewa kuwa, zama za ubabe na sera za mabavu zimefika ukingoni na Marekani inachukiwa na kutengwa zaidi duniani siku baada ya siku.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran asema Marekani, Israel zitajuta zikijaribu kuichokoza Iran

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran asema Marekani, Israel zitajuta zikijaribu kuichokoza Iran

    Aug 24, 2018 14:12

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani ina wasiwasi kuhusu usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuongeza kwamba, iwapo Marekani na utawala wa Kizayuni zitachukua hatua yoyote ya kijinga ya kuichokoza Iran, basi zitajuta kwani maelfu ya makombora ya muqawama yataungamiza mji wa Tel Aviv.

  • Ayatullah Movahhedi Kermani: Jeshi la Kiislamu liliwasambaratisha wanafiki katika operesheni ya 'Mirsad'

    Ayatullah Movahhedi Kermani: Jeshi la Kiislamu liliwasambaratisha wanafiki katika operesheni ya 'Mirsad'

    Jul 27, 2018 14:43

    Ayatukllah Muhammad Ali Movahhedi Kermani, Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kundi la kigaidi la Munafiqin lilikuwa likitaka kuidhibiti Iran na kuuangusha mfumo wa kiislamu hapa nchini, lakini operesheni kubwa ya kijeshi iliyopewa jina la "Mirsad" ililisambaratisha kundi hilo.

  • Ayatullah Movahedi Kermani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vitaibua kashfa dhidi ya Trump

    Ayatullah Movahedi Kermani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vitaibua kashfa dhidi ya Trump

    Jun 22, 2018 13:50

    Ayatullah Mohammad Ali Movahedi Kermani. Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran sambamba na kuashiria vikwazo vinavyotarajiwa vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matokeo ya vikwazo hivyo yatafichua kashfa kwa Marekani na kwa Rais Donald Trump mwenyewe.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Maadui watapata kipigo kikali

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Maadui watapata kipigo kikali

    May 04, 2018 13:26

    Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesisitiza kuwa vitisho vya Marekani dhidi ya Iran na hatua ya baadhi ya tawala katika eneo za kuwa bega kwa bega na nchi hiyo havisababishi kuyumba kwa aina yoyote nchini Iran kwa sababu iwapo pande hizo zitaanzisha vita zitashindwa na kuangamizwa.

  • Ayatullah Kermani: Marekani, Israel na Saudia zinahamakishwa na maendeleo ya Iran

    Ayatullah Kermani: Marekani, Israel na Saudia zinahamakishwa na maendeleo ya Iran

    Feb 23, 2018 15:30

    Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo Tehran, amesema kuwa Marekani, utawala haramu wa Israel na Saudia zimeungana kieneo na kimataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwamba zinapandwa mno na hamaki zinapoona maendeleo ya taifa hili la Kiislamu.

  • Ayatullah Kermani amuonya Trump juu ya hatua zake chafu dhidi ya Quds

    Ayatullah Kermani amuonya Trump juu ya hatua zake chafu dhidi ya Quds

    Dec 29, 2017 16:08

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo Tehran amesema kuwa, maamuzi ya Rais Donald Trump wa Marekani hususan kuutangaza mji wa Quds (Jerusalem) kuwa ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, yatapelekea kusambaratika Marekani yenyewe.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Umma wa Kiislamu ukabiliane kwa nguvu na maadui

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Umma wa Kiislamu ukabiliane kwa nguvu na maadui

    Dec 01, 2017 15:42

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia Maulid ya Mtume Muhammad SAW na Wiki ya Umoja wa Kiislamu na kuongeza kuwa: "Waislamu wa madhehebu ya Kisunni na Kishia, wanapaswa kuungana na kuwa na mshikamano na wasimame kidete kupambana na adui wao wa pamoja katika ulimwengu wa Kiislamu."

  • Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu

    Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu

    Nov 03, 2017 14:21

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema Wamarekani ni wenye kuvunja ahadi na kuongeza kuwa, Marekani ni kinara wa uhaini na jinai zote duniani.

  • Iran itatoa jibu linalofaa kwa uadui wa Marekani

    Iran itatoa jibu linalofaa kwa uadui wa Marekani

    Oct 13, 2017 15:33

    Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria kufanyika kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan la Iraq na kusema kuwa, adui amegonga mwamba katika njama yake ya kuunda kile kinachodaiwa kuwa ni 'Mashariki ya Kati Mpya.'

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS