-
Ayatullah Movahhedi Kermani: Mataifa ya Kiislamu yaamke dhidi ya jinai za Mabudha wa Myanmar
Sep 08, 2017 18:54Hatibu wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa hakuna matumaini ya kuona taasisi za kimataifa zikisaidia kuzuia mauaji ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar na ameyataka mataifa ya Kiislamu kuamka na kusimama kidete dhidi ya jinai zinazofanywa na jeshi na Mabudha wa nchi hiyo.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tuhesabu nafsi zetu kabla ya kuhesabiwa
Aug 11, 2017 16:13Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amewataka waumini kuhesabu nafsi zao kabla ya kuhesabiwa Siku ya Kiyama.
-
Ayat. Kermani: Marekani imezowea kutenda jinai na kuunga mkono wauaji duniani
Jul 14, 2017 14:54Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani imezowea kufanya jinai na kuunga mkono makundi yanayomwaga damu za watu na wauaji wakubwa duniani.
-
Kermani: Kushikamana na Uislamu na Qur'an ndio mafanikio ya Iran
Jun 16, 2017 15:27Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran, Ayatullah Muhammad Ali Muvahhedi Kermani amesema kuwa, Marekani ndiye adui mkuu wa taifa la Iran na kwamba, kushikamana na misingi ya dini ya Uislamu na Qur'an Tukufu ndiko kulikoiwezesha Jamhuri ya Kiislamu kusimama imara mbele ya Marekani na maadui wengine.
-
Ayatullah Kermani apongeza ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iran katika uchaguzi wa leo
May 19, 2017 16:24Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amepongeza ushiriki mkubwa wa wananchi katika upigaji kura wa uchaguzi wa rais leo na kusema kuwa, suala hilo ni jambo muhimu.
-
Ayatullah Kermani: Kimya cha taasisi za kimataifa mbele ya ukiukwaji wa haki za binadamu kimeharibu hadhi ya taasisi hizo
Mar 17, 2017 16:24Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika jiji la Tehran amesema kuwa kimya cha taasisi za kimataifa mkabala na mauaji ya Waislamu duniani yakiwemo mauaji ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar na jinai za Saudi Arabia huko Yemen, kimezifanya taasisi hizo za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zipoteza heshima na hadhi yao.
-
Ayatullah Kermani: Kadhia ya Palestina; kipaumbele cha Iran na Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 24, 2017 14:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesema kuwa kadhia ya Palestina inapewa uzito katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ni kipaumbele cha Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ayatullah Kermani: Wananchi wa Iran hawatasahau maafa ya Mina
Sep 02, 2016 15:43Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran kamwe hawatasahau maafa ya vifo vya kuogofya ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana.
-
Ayatullah Kermani: Siasa mbovu za Saudia kuhusu Hija zimezijeruhi hisia za Waislamu ulimwenguni
Aug 05, 2016 13:30Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, siasa mbovu za serikali ya Saudi Arabia kuhusu ibada ya Hija zimezijeruhi hisia za Waislamu ulimwenguni na zimekuwa ni kwa madhara ya watawala wa Aal Saud.
-
Saudia inaunga mkono ugaidi na kuua watu wasio na hatia Yemen
Jun 10, 2016 14:03Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema: Jinai za utawala wa Saudia dhidi ya watu wasio na hatia Yemen na uungaji mkono wake kwa ugaidi katika eneo ni mambo yanayofanyika kwa mashali ya madola ya kiistikbari na Uzayuni wa kimataifa.