-
Hania: Mashahidi wa Palestina wamethibitisha kuwa Quds ni mstari mwekundu
May 22, 2021 06:38Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amegusia jinsi Wapalestina walivyouliwa shahidi na Wazayuni katika vita vya Quds na kusisitiza kuwa, mashahidi hao wamewathibitisha watu wote kwamba Quds na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa taifa hilo na umma wote wa Kiislamu.
-
Maelfu ya Wapalestina washiriki katika Sala ya Idul Fitr kwenye Msikiti wa al Aqsa
May 13, 2021 11:37Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr leo Alkhamisi asubuhi katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu licha ya sheria kali zilizowekwa na utawala wa Kizayuni ambao siku chache zilizopita wanajeshi wa utawala huo katili waliwashambulia kwa mabomu Waislamu waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti huo.
-
Wapalestina wa Quds wawashukuru wenzao wa Ghaza kwa kuwapiga wanajeshi Wazayuni kwa makombora
May 11, 2021 07:42Wapalestina wa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni wamefanya maandamano ya kutangaza kufurahishwa kwao na Wapalestina wenzao wa Ghaza kwa kuguswa na hali yao na kujibu jinai za Wazayuni huko Quds kwa kushambulia kwa makombora maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni.
-
Hamas: Kuichezea Quds ni moto utakaowachoma viongozi wa Israel
May 10, 2021 11:07Naibu Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unacheza na moto kwa kuendelea kuhujumu Baitul Muqaddas na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Iran yalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa
May 08, 2021 07:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hujuma ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa wakati Wapalestina walipokuwa katika eneo hilo takatifu kwa ajili ya ibada.
-
Makundi ya Muqawama Palestina yauonya utawala wa Kizayuni wa Israel
May 05, 2021 02:18Makundi ya muqawama na kupigania ukombozi wa Palestina yametoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuchukua hatua zozote za kuwakandamiza vijana Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu.
-
Mufti wa Quds ataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na hujuma dhidi ya Masjdul-Aqswa
Apr 15, 2021 08:19Mufti wa Quds na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewataka viongozi wa mataifa ya Kiarabu, ya Kiislamu na wananchi wa mataifa hayo kuchukua hatua za haraka za kusitisha hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa.
-
Wapalestina wakasirishwa na kitendo chha Wazayuni cha kuzuia adhana kwa kutumia vipaza sauti
Apr 14, 2021 11:29Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukata nyaya za vipaza sauti katika Msikiti wa al-Aqswa na kuzuia kuadhiniwa kwa kutumia vipaza sauti.
-
Wanajeshi wa Israel wamkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa
Mar 10, 2021 12:25Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Wazayuni waendelea kuchimba mashimo na kubomoa Msikiti wa Al-Aqswa
Dec 12, 2020 02:59Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea KATIKA msikiti huo mtakatifu ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.