Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Baa la njaa lashadidi Ghaza, Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la kizayuni wakaribia 62,300

    Baa la njaa lashadidi Ghaza, Wapalestina waliouliwa shahidi na jeshi la kizayuni wakaribia 62,300

    Aug 23, 2025 07:29

    Wizara ya Afya ya Palestina imeeleza katika takwimu zake za hivi karibuni kwamba, Wapalestina wasiopungua 62,263 wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari vilivyoanzishwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 2023.

  • Hamas yaapa: Tutaendelea kuwaua wanajeshi wa Israel baada ya shambulizi la kuvizia kuwaua 7 huko Gaza

    Hamas yaapa: Tutaendelea kuwaua wanajeshi wa Israel baada ya shambulizi la kuvizia kuwaua 7 huko Gaza

    Jun 26, 2025 12:31

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeapa kuendelea kuwashambulia wanajeshi wa utawala wa Kizayuni baada ya shambulizi la kuvizia lilitotekelezwa na wanamuwawama wa harakati hiyo na kuangamiza wanajeshi saba kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Tamasha la Asubuhi: Sauti ya Muqawama dhidi ya ubeberu wa kimataifa, linaendelea Tehran

    Tamasha la Asubuhi: Sauti ya Muqawama dhidi ya ubeberu wa kimataifa, linaendelea Tehran

    May 07, 2025 03:07

    Tamasha la tatu la vyombo vya habari la "Sobh", (Asubuhi) kwa ajili ya kuwaenzi watu mashuhuri wanaopinga ubeberu, kuanzia wabunge wa zamani wa mabunge ya Ulaya na Uingereza hadi mwandishi wa habari wa Palestina kutoka Gaza, linaendelea kupaza sauti ya mapambano na Muqawama dhidi ya ukandamizaji wa kimataifa.

  • Abu Ubaidah: Wapalestina hawatosahau Wayemen walivyosimama nao bega kwa bega

    Abu Ubaidah: Wapalestina hawatosahau Wayemen walivyosimama nao bega kwa bega

    Apr 14, 2025 02:41

    Msemaji wa Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, Wapalestina hawatosahau namna Wayemen walivyosimama imara na bega kwa bega pamoja nao katika Jihadi ya kuikomboa ardhi ya Palestina.

  • Wanazuoni wa Kiislamu watoa fatwa; Mataifa ya Kiislamu yaunge mkono Muqawama wa Palestina

    Wanazuoni wa Kiislamu watoa fatwa; Mataifa ya Kiislamu yaunge mkono Muqawama wa Palestina

    Apr 05, 2025 03:49

    Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa fatwa (agizo la kidini) ukizitaka nchi za Kiislamu kutoa msaada wa haraka wa kijeshi, kifedha na silaha kwa mrengo wa Muqawama wa Palestina, ili kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwaunga mkono Wapalestina Gaza

    Iran, Lebanon, Iraq, Yemen zaanza luteka ya kuwaunga mkono Wapalestina Gaza

    Mar 27, 2025 08:00

    Vikosi vya Baharini vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) pamoja na vikosi kutoka Lebanon, Iraq na Yemen, vinafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya majini katika 'maonyesho ya nguvu' dhidi ya Israel na kutangaza mshikamano na Wapalestina huko Gaza.

  • "Mantiki ya Muqawama ya IRGC ndiyo njia pekee ya kuwaokoa Waislamu"

    Mar 11, 2025 01:09

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema mantiki ya Muqawama ya SEPAH ndiyo njia pekee ya kuwaokoa Waislamu mkabala wa kutawaliwa na maadui.

  • Spika Qalibaf: Namna Hizbullah ilivyoonyesha nguvu zake imedhihirika kuwa Muqawama hauondosheki

    Spika Qalibaf: Namna Hizbullah ilivyoonyesha nguvu zake imedhihirika kuwa Muqawama hauondosheki

    Feb 25, 2025 07:09

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, kutokana na jinsi Hizbullah ilivyoonyesha nguvu na uwezo wake, imemdhihirikia wazi kila mtu kwamba maadui hawawezi kuuondoa Muqawama au kuuweka kando ya ulingo wa kisiasa na kiusalama wa Lebanon kutokana na uungaji mkono wa wananchi ilionao.

  • HAMAS: Kuwa na silaha ni haki ya kisheria ya Muqawama na kuachana nazo ni jambo lisilowezekana

    HAMAS: Kuwa na silaha ni haki ya kisheria ya Muqawama na kuachana nazo ni jambo lisilowezekana

    Feb 25, 2025 06:16

    Hazem Qassem, msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameashiria matamshi yaliyonasibishwa na kiongozi mwandamizi wa harakati hiyo Musa Abu Marzouk na kusisitiza kwamba: "Hamas inaendelea kutumia silaha za Muqawama kama haki halali na ya kisheria na haitalegeza msimamo juu ya suala hilo".

  • Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah

    Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah

    Feb 23, 2025 00:17

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi leo wanaelekea Beirut kushiriki katika hafla ya mazishi ya kiongozi wa Hizbullah aliyeuawa shahidi, Sayyed Hassan Nasrallah, pamoja na mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Shahidi Sayyid Hashim Safieddine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS