-
"Kuuawa viongozi wa Muqawama hakutadhoofisha mapambano dhidi ya Wazayuni"
Oct 19, 2024 07:20Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema mauaji ya kigaidi ya viongozi na makamanda wa kambi ya Muqawama hayatadhoofisha mapambano ya taifa hili la Kiislamu dhidi ya dhulma na uvamizi.
-
Kusalia Imara Mhimili wa Muqawama
Oct 11, 2024 02:35Baada ya kutekelezwa Oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa, Utawala wa Kizayuni wa Israel ulidhani kuwa ungeweza kuiangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa mashambulizi ma kubwa na kuigeuza Gaza kuwa ardhi iliyoungua.
-
Iran yataka kutumiwa uwezo wa eneo kukomesha mauaji ya halaiki
Oct 10, 2024 12:23Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ametoa mwito wa kutumika kwa uwezo na suhula zote za eneo la Asia Magharibi ili kusimamisha vita mara moja na kuzuia kuendelea mauaji ya kimbari na uharibifu wa miundo mbinu huko Lebanon na Palestina.
-
Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah
Oct 10, 2024 08:41Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinachunguza shambulizi na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah...
-
Kanani: Njia pekee ya kulinda nchi ni muqawama na kuimarisha mamlaka ya kitaifa
Sep 21, 2024 12:13Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, kujihami kutakatifu kumewathibitishia Wairani kwamba, njia pekee ya kulinda nchi, umoja wa ardhi yote na usalama wa taifa dhidi ya wavamizi na waungaji mkono wao waovu wenye sifa za shetani ni muqawama na kuimarisha mamlaka ya kitaifa.
-
Sera ya kuunga mkono Palestina, kipaumbele cha serikali ya 14
Sep 06, 2024 12:43Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuunga mkono muqawama wa wananchi wa Palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel ni moja ya vipaumbele vya serikali ya 14 na sehemu muhimu ya nguzo za siasa za nje za Iran.
-
Muqawama wa Iraq watumia droni za kamikaze kupiga Haifa
Sep 04, 2024 07:00Harakati ya Muqawama ya Iraq imefanya shambulizi la ndege zisizo na rubani dhidi ya mji wa Haifa, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Muqawama Iraq: Jibu la Iran dhidi ya Israel litakuwa la nguvu
Aug 15, 2024 02:46Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya al-Nujabaa ya Iraq amesema jibu tarajiwa la Iran kwa mauaji ya kigaidi yaliyofanywa mwezi uliopita na utawala wa Kizayuni dhidi ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS litakuwa la nguvu, lenye taathira na la kimahesabu.
-
HAMAS: OIC na Arab League zifanye mkutano haraka ili kusimamisha mauaji ya kimbari ya Ghaza
Aug 12, 2024 11:18Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) zifanye mkutano wa dharura wa kuchukua hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Muqawama: US ni mshiriki wa mauaji mapya ya halaiki Gaza
Aug 10, 2024 11:13Makundi ya mrengo wa Muqawama katika eneo la Asia Magharibi yamelaani vikali jinai mpya ya kuogofya ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, ambapo zaidi ya Wapalestina 100 wameuawa shahidi na makumi ya wengine kujeruhiwa.