-
Spika Qalibaf: Jibu la Iran kwa Israel litaleta furaha kwa Wairani na vikosi vya muqawama
Aug 04, 2024 12:27Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, majibu makali na ya kiakili ya Jamhuri ya Kiislamu kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel kuhusiana na mauaji ya shahidi Ismail Haniya yataleta furaha kwa watu wa Iran na vikosi vya muqawama na wapiganiia uhuru wa dunia.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 21, 2024 02:30Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
Pezeshkian: Kuunga mkono muqawama ni katika sera kuu za Iran
Jul 09, 2024 03:08Rais mteule wa Iran amesema serikali yake ijayo itafanya kile iwezalo kuunga mkono vikosi vya muqawama katika eneo la Asia Magharibi, akisisitiza kuwa kuuunga mkono mrengo wa mapambano ni katika sera kuu za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Wanaharakati wa Iraq waipiga tena kwa makombora bandari ya Eilat ya utawala wa Kizayuni
Jul 01, 2024 08:07Wanaharakati wa Muqawama wa Iraq wamesema kuwa wamefanya shambulizi jipya dhidi ya Bandari ya Eilat katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu Wazayuni na ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Jenerali Safavi: Israel 'inayoporomoka' imeshindwa vibaya na muqawama
Jul 01, 2024 03:00Mshauri Mkuu wa Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala kijeshi amesema mrengo wa muqawama umefanikiwa kuushinda na kuusababishia vipigo utawala wa Kizayuni ambao upo katika ncha ya kuporomoka na kusambaratika.
-
Tehran, mwenyeji wa mkutano wa nafasi ya utambulisho wa asili na muqawama katika kuasisi mfumo mpya duniani
Jun 27, 2024 12:29Mkutano wa kimataifa uliofanyika chini ya anwani ya "Nafasi ya Utambulisho wa Asili na Muqawama Katika Kuasisi Mfumo Mpya Duniani" umefanyika leo hapa Tehran kwa kuhudhuriwa na wataalamu na wanafikra wa kimataifa.
-
Muqawama Iraq: Tutashambulia maslahi ya US iwapo Lebanon itavamiwa
Jun 26, 2024 02:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq ameuonya vikali utawala haramu wa Israel dhidi ya kuingia kwenye vita vipya na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Iran: Muqawama lazima uifanye Israel ilipe gharama kubwa kwa uvamizi
Jun 21, 2024 02:17Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makundi ya muqawama yanapasa kutumia nguvu na uwezo wao wote kuufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ulipe gharama kubwa kutokana na uvamizi na mashambulizi yake dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
YouTube 'yajigonga' katika dai la uhuru wa maoni kwa kuifunga akaunti ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
May 29, 2024 03:40Mtandao wa kijamii wa YouTube umeifuta akaunti rasmi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa kisingizio cha kukiuka kanuni zake kufuatia hatua ya akaunti hiyo kuweka mkanda wa video wa lugha ya Kiingereza wenye anuani "Resistance, the only option for Palestine", yaani Muqawama ndilo chaguo pekee kwa Palestina.
-
Makamanda wa IRGC na wakuu wa kambi ya muqawama wakutana Tehran
May 24, 2024 07:26Makamanda waandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wamekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa makundi ya muqawama waliokuja hapa nchini Iran kushiriki mazishi ya viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu akiwemo Rais Ebrahim Raisi waliokufa shahidi katika ajali ya helikopta Jumapili iliyopita.