Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

muqawama

  • Velayati: Baada ya muda si mrefu Yemen pia itajumuishwa kwenye kambi ya Muqawama

    Velayati: Baada ya muda si mrefu Yemen pia itajumuishwa kwenye kambi ya Muqawama

    Apr 19, 2018 23:49

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: kambi ya muqawama imepanuka kwa kuanzia Iran na kuenea hadi Palestina, Syria na Iraq; na muda si mrefu Yemen pia itajumuishwa kwenye kambi hiyo.

  • Jebeli: Hujuma ya Marekani na Waitifaki wake Syria haiathiri utendaji wa muqawama

    Jebeli: Hujuma ya Marekani na Waitifaki wake Syria haiathiri utendaji wa muqawama

    Apr 15, 2018 09:40

    Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hujuma ya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Syria haijawa na taathira hasi katika utendaji wa jeshi na taifa la Syria pamoja na harakati ya mapambano au muqawama."

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa njama za Marekani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa njama za Marekani

    Feb 26, 2018 03:44

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria alipokuwa akihutubia katika mji wa Baalabek juu ya kushindwa mipango ya Marekani na washirika wake katika Mashariki ya Kati na kusambaratishwa kundi la kigaidi la Daesh na kusema kuwa, hii leo tunapaswa kukusanya mafanikio yetu ambapo kubwa zaidi katika hayo ni uungaji mkono unaopata muqawama.

  • Makundi tofauti ya Palestina yamuonya Trump juu ya kuhamishia ubalozi wa US mjini Quds

    Makundi tofauti ya Palestina yamuonya Trump juu ya kuhamishia ubalozi wa US mjini Quds

    Feb 24, 2018 04:28

    Shakhsia na viongozi wa makundi tofauti ya Palestina yamemuonya Rais Donald Trump wa Marekani juu ya kuzidisha mgogoro wa eneo la Mashariki ya Kati kufuatia hatua yake ya kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi hiyo kutoka Tel Aviv kwenda mji wa Quds ambayo imepangwa kutekelezwa sawa na siku ya Nakba (inayokumbushia uvamizi wa Israel dhidi ya ardhi za Wapalestina.)

  • Kutunguliwa ndege za Magharibi walizogaiwa Saudia; mafanikio ya muqawama imara nchini Yemen

    Kutunguliwa ndege za Magharibi walizogaiwa Saudia; mafanikio ya muqawama imara nchini Yemen

    Jan 10, 2018 02:36

    Nguvu za kujihami za vikosi vya wananchi na jeshi la Yemen kwa mara nyingine tena zimewathibitishia wavamizi wa nchi hiyo wanaoongozwa na Saudia kwa baraka kamili za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba Yemen sinchi inayoweza kukubali kukaliwa kwa mabavu.

  • Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel

    Hizbullah: Mapambano ndio chaguo pekee la Wapalestina na Waislamu dhidi ya Marekani na Israel

    Jan 01, 2018 00:51

    Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, njia pekee ya Wapalestina na Waislamu kukabiliana na utawala haramu wa Israel na Marekani ni muqawama na mapambano dhidi ya tawala hizo.

  • Hizbullah: Mapambano ndio njia pekee ya Wapalestina kupata ushindi

    Hizbullah: Mapambano ndio njia pekee ya Wapalestina kupata ushindi

    Dec 07, 2017 11:26

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hatua ya Rais wa Marekani ya kuutangaza mji wa Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel, utakuwa ni msukumo kwa watu waliokuwa kando, lakini kwa sasa wanapaswa kuingia katika medani bila ya kisingizio chochote.

  • Gebran Bassil: Jumuiya ya Nchi za Kiarabu inapaswa kutofautisha baina ya muqawama na ugaidi

    Gebran Bassil: Jumuiya ya Nchi za Kiarabu inapaswa kutofautisha baina ya muqawama na ugaidi

    Nov 25, 2017 12:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ameamwandikia barua Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) akimwambia kwamba, umoja huo unapaswa kufungamana na makubaliano ya Waarabu ambayo yalitofautisha baina ya muqawama na ugaidi.

  • Wapalestina wakabiliana mara 290 na Wazayuni mwezi Oktoba 2017

    Wapalestina wakabiliana mara 290 na Wazayuni mwezi Oktoba 2017

    Nov 05, 2017 00:06

    Wapalestina wanaoishi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Quds tukufu wamekabiliana mara 290 na Wazayuni katika mwezi uliopita wa Oktoba.

  • Taarifa ya mwisho ya kongamano la kimataifa la Umoja wa Wanazuoni wa Mapambano

    Taarifa ya mwisho ya kongamano la kimataifa la Umoja wa Wanazuoni wa Mapambano

    Nov 03, 2017 23:10

    Kikao cha pili cha kimataifa cha Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Mapambano kimemalizika huko Beirut mji mkuu wa Lebanon kwa kutoa taarifa inayotetea na kuunga mkono Suasla la Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS