-
"Kupanuka muqawama, chachu ya kuporomoka Israel"
Jun 18, 2023 03:54Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuendelea kuenea harakati za muqawama katika maeneo yote ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu ni chachu ya kusambaratika na kuporomoka kwa kasi utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Raisi: Kusimama kidete mataifa ya Syria na Palestina kumeiimarisha kambi ya muqawama
May 04, 2023 03:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimama imara mataifa ya Palestina na Syria kumebadilisha hali ya mambo kwa manufaa ya kambi ya muqawama na leo hii utawala wa Kizayuni wa Israel ni dhaifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
-
Rais wa Iran: Syria imeibuka na ushindi licha ya vitisho na vikwazo
May 03, 2023 08:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Syria pamoja na wananchi wa nchi hiyo wamepitia masaibu na matatizo mengi na hii leo taifa hilo limeweza kuibuka ushindi.
-
Amir Abdollahian: Ziara ya Rais Raisi Syria ni dhihirisho la mafanikio ya diplomasia ya serikali katika ushirikiano wa kikanda
May 03, 2023 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria mbali na umuhimu wake wa kisiasa, kiusalama na kiuchumi ni dhihirisho la ushindi wa irada ya kisiasa ya muqawama na kufanikiwa diplomasia ya serikali katika kukamilisha mchakato wa utangamano wa kikanda.
-
Hamas: Maonyo ya Sayyid Nasrullah ndiyo sababu kuu ya woga wa utawala wa Kizayuni
Apr 27, 2023 02:07Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, maonyo yanayotolewa na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah ndiyo sababu kuu inayozuia mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kata'ib Hizbullah: Ikilazimu, tutakabiliana moja kwa moja na Marekani
Mar 26, 2023 22:41Harakati ya kupambana na ugaidi ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeonya kuwa, iwapo makundi ya muqawama katika nchi hiyo ya Kiarabu yatashambuliwa na vikosi vya Marekani kama vilivyofanya Syria, basi harakati hiyo haitakuwa na budi kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja na vikosi hivyo vamizi.
-
Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Feb 13, 2023 08:19Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo dhidi ya Syria katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inahitajia misaada kutokana na kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi.
-
Kiongozi Muadhamu: Kazi kubwa ya shahidi Soleimani ilikuwa ni kuimarisha kambi ya muqawama
Jan 01, 2023 08:36Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, miongoni mwa kazi kubwa zilizofanywa na Luteni Jenerali shahid Qassem Soleimani, aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, ni kuhuisha na kutia nguvu kambi ya muqawama.
-
Hamas: Maneva ya al Rakan al Shadid 3 ni dhihirisho la nguvu ya muqawama
Dec 29, 2022 04:39Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa maneva ya al Rakan al Shadid 3 yanayonesha nguvu ya muqawama.
-
Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni
Dec 07, 2022 22:52Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.