-
The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Oct 17, 2017 11:42Gazeti la The Gardian linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kuwa Umoja wa Mataifa unashirikiana na serikali ya Myanmar katika kuficha dhulma na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Jeshi la Myanmar laendelea kuwaua Waislamu wa Rohingya
Oct 17, 2017 04:58Licha ya kuendelea kulaaniwa na kutolewa radimali kubwa kutoka pembe mbalimbali za dunia kuhusiana na jinai za jeshi na Mabudha magaidi wa Myanmar kuwalenga Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo, bado wimbi la mauaji na jinai kubwa dhidi ya watu hao zinaendelea kila siku.
-
Wimbi jipya la maelfu ya Waislamu Warohingya wanaokimbia mauaji na njaa Myanmar
Oct 17, 2017 00:55Maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya mapema Jumatatu wamewasili nchini Bangladesh wakitokea Myanmar wanakokabiliwa na mauaji ya umati yanayotekelezwa na Mabudhha wenye misimamo mikali.
-
Jumuiya ya Mabunge yalaani jinai dhidi ya Waislamu wa Mynamar
Oct 16, 2017 10:11Jumuiya ya Mabunge imelaani mauaji na jinai dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar katika kikao chake huko Saint Petersburg nchini Russia mkutano ambao umefanyika kwa ubunifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu
Oct 16, 2017 04:44Idara ya Huduma za Kijamii nchini Bangladesh imesema watoto karibu 14 elfu wa Rohingya wamekuwa mayatima baada ya kupoteza wazazi wao katika mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii hiyo nchini Myanmar.
-
Kofi Annan: Baraza la Usalama la UN liishinikize Myanmar iwarejeshe Waislamu kwa heshima
Oct 14, 2017 11:56Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, amelitaka Baraza la Usalama la umoja huo liishinikize serikali ya Myanmar iandae mazingira ya kurejea nchini humo Waislamu zaidi ya laki tano wa Rohingya waliohamishwa makwao kwa nguvu na kukimbilia Bangladesh kutokana na ukandamizaji wa jeshi.
-
Myanmar inawanyima chakula Waislamu wa jamii ya Rohingya
Oct 13, 2017 10:49Shirika moja la kutetea haki za binadamu linasema serikali ya Myanmar inazuia kwa makusudi chakula kuwafikia Waislamu wa jamii ya Rohingya kwa lengo la kuwalazimisha kukimbia ardhi yao ya jadi nchini humo.
-
UN yatoa ripoti ya kushtusha kuhusu jinai za jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu
Oct 12, 2017 00:09Ofisi ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa imekiri kuwa jeshi la Myanmar limetenda jinai dhidi ya Waislamu Warohingya.
-
Amnesty: Kuzama kwa wakimbizi wa Rohingya ni ishara ya kuendelea dhulma huko Myanmar
Oct 10, 2017 12:15Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, vifo vya Waislamu wa Rohingya vinavyotokea baharini wakikimbilia Bangladesh ni ishara ya kuendelea ukandamizaji na dhulma dhidi ya jamii hiyo ya waliowachache katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar.
-
Matatizo ya wakimbizi wa Rohingya yaongezeka
Oct 09, 2017 05:09Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kuanzishwa kambi yenye idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa kabila la Rohingya wa Myanmar nchini Bangladesh ni hatari kubwa na umesisitiza kuwa, hatua hiyo inaweza kusababisha matatizo mengi ikiwa ni pamoja na kuenea magonjwa ya kuambukiza.