-
UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi laki 8 wa Myanmar waliopo Bangladesh
Oct 08, 2017 04:37Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa kutoandaliwa kambi kwa ajili ya kuwahifadhi wakimbizi Waislamu wa Rohingya wapatao laki nane huko Bangladesh ni jambo hatari sana.
-
Mauaji ya Waislamu wa Myanmar bado yanaendelea, wakimbizi wakumbwa na maradhi
Oct 06, 2017 20:46Duru za habari kutoka Bangladesh zimearifu kwamba hadi sasa jeshi la serikali ya Myanmar kwa kushirikiana na Mabudha magaidi, linaendeleza mauaji na jinai kubwa dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi wa kabila la Rohingywa wa nchi hiyo.
-
Waisraeli wakiri kuhusika na mauaji ya kizazi ya Waislamu wa Rohingya
Oct 06, 2017 04:36Mtaalamu mmoja mashuhuri wa Israeil amesema kuwa Tel Aviv inahusika katika mauaji ya kimbari ya Waislamu wasio na hatia wala ulinzi nchini Myanmar.
-
Ayatullah Shirazi: Iran izidishe mashinikizo dhidi ya serikali ya Myanmar
Oct 06, 2017 01:11Ayatullah Makarim Shirazi ambaye ni miongoni mwa wanazuoni wakubwa wa Kiislamu nchini Iran ameitaka serikali ya Tehran kuzidisha mashinikizo dhidi ya serikali ya Myanmar kutokana na mauaji yanayoendelea kufanywa na Mabudha wa nchi hiyo wakishirikiana na jeshi la serikali dhidi ya Waislamu wa Rohingya.
-
HRW: Jeshi la Myanmar linawaua na kuwanajisi Waislamu wa Myanmar
Oct 05, 2017 04:26Shirika la kutetea haki za binadmau la Human Rights Watch (HRW) limesema jeshi la Myanmar linawaua kiholela na kuwanajisi Waislamu wa jamii ya Rohingya magharibi mwa nchi hiyo.
-
Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Oct 02, 2017 10:48Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala haramu wa Israel una nafasi katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
Katibu Mkuu wa UN ajibu tuhuma za Myanmar dhidi ya afisa wa umoja huo
Sep 30, 2017 12:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezitaja tuhuma zilizotolewa na serikali ya Myanmar dhidi ya Mratibu wa Umoja wa Mataifa kuwa si sahihi.
-
Antonio Guterres: Hali ya mambo magharibi mwa Myanmar ni "jinamizi" la kibinadamu
Sep 28, 2017 23:58Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Myanmar isitishe mashambulio yake dhidi ya Waislamu magharibi na mwa nchi hiyo na iandae mazingira ya wananchi hao kupatiwa himaya na misaada ya kibinadamu.
-
Waislamu 14 wa Rohingya wafa maji baada ya boti yao kuzama
Sep 28, 2017 10:53Kwa akali Waislamu 14 wa jamii ya Rohingya wamefariki dunia katika Mto Naf katika mpaka wa Myanmar na Bangladesh baada ya boti yao kuzama, wakikimbia mauaji na ukandamizaji unaofanywa na wanajeshi wa serikali ya nchi hiyo dhidi ya jamii hiyo.
-
Israel inaendelea kulipatia silaha jeshi la Myanmar
Sep 27, 2017 00:47Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unaendelea kusafirisha silaha kuelekea Myanmar kwa ajili ya jeshi la nchi hiyo.