-
Nato na Russia huenda zikaanzisha mazungumzo baada ya miaka miwili
Apr 08, 2016 09:36Russia imesema kuwa huenda ikafanya mazungumzo na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi Nato katika wiki chache zijazo.
-
NATO kupanua operesheni za kukabiliana na wakimbizi
Mar 07, 2016 12:46Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO, Jens Stoltenberg amesema kuwa jumuiya hiyo itapanua zaidi operesheni zake katika maji ya karibu na nchi za Ugiriki na Uturuki ili kuzuia wimbi la wahamiaji haramu kuelekea katika nchi za Magharibi.
-
Wanachama wa NATO kutoingilia vita vya Uturuki,Russia
Feb 20, 2016 23:19Baadhi ya nchi wanachama wa Shirika la Kijeshi la NATO zimetahadharisha kuhusu kushtadi kwa mivutano baina ya Uturuki na Russia na kusisitiza kuwa hazitoingilia endapo vitazuka vita baina ya nchi hizo mbili.
-
NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq
Feb 12, 2016 12:10Shirika la Kijeshi la NATO linatafakari kuingia katika vita vinavyoendelea katika nchi za Syria na Iraq.
-
Rusia: Nato inachochea machafuko Mashariki ya Kati
Feb 08, 2016 03:44Wizara ya Ulinzi ya Russia imejibu tuhuma za shika la kijeshi la nchi za Magharibi (NATO) ikisema muungano huo wa kijeshi imeitumbukiza Syria katika matatizo makubwa na kusababisha machafuko katika eneo lote la Mashariki ya Kati.