-
China yajibu mapigo kwa hati ya mkakati mpya wa NATO dhidi yake
Jul 01, 2022 03:33China imekosoa hati ya mkakati na stratejia mpya ya Muungano wa Kijeshi wa NATO na kueleza kwamba muungano huo ni changamoto ya kimfumo kwa usalama na uthabiti wa dunia.
-
Uturuki yaafiki Sweden na Finland zijiunge na NATO na uwezekano wa vita vya dunia
Jun 30, 2022 20:32Hatimaye, baada ya mazungumzo mengi, kumetiwa saini mapatano ya pande tatu baina ya Ankara, Stockholm na Helsinki kuhusu Finland na Sweden kujiounga na NATO. Katibu Mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amethiitisha kuwa Uturuki imeafiki Sweden na Norway zijiunge na NATO.
-
Mfalme wa Jordan ataka kuundwa 'NATO ya Asia Magharibi'
Jun 25, 2022 21:51Mfalme wa Jordan amesema anaunga mkono wazo la kuundwa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Asia Magharibi, utakaoshabihiana na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO).
-
Sisitizo la Katibu Mkuu wa NATO kuhusu kujiandaa Magharibi kwa vita vya muda mrefu Ukraine
Jun 04, 2022 22:08Katibu Mkuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, Jens Stoltenberg, baada ya kuonana na rais wa Marekani, Joe Biden ili kujua msimamo wa Washington kuhusu vita vya Ukraine amedai kwamba nchi za Magharibi zinapaswa kujiandaa kwa vita vya muda mrefu huko Ukraine.
-
Russia: Shirika "lililokufa ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya
May 20, 2022 03:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amegusia hatua ya shirika la kijeshi la NATO ya kutaka kuzipatia Finland na Sweden uanachama wa shirika hilo na akasema, shirika ambalo limekumbwa na "kifo cha ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya.
-
Njama za Magharibi za kuanzisha NATO ya dunia nzima
May 18, 2022 04:58Katika hali ambayo suala la uwanachama wa nchi mbalimbali hasa Ukraine katika Jeshi la Nchi za Magharibi NATO limeitumbukiza dunia kwenye mgogoro wa kimataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameona kama hiyo haitoshi na hivi sasa amezungumzia wajibu wa kuweko mkataba wa NATO ya dunia nzima.
-
Moscow yasisitiza: Marekani inashiriki moja kwa moja katika vita vya Ukraine
May 08, 2022 21:57Vyacheslav Volodin, mkuu wa Duma ya Russia, ameandika kwenye mtandao wa Telegram kwamba Merekani inashiriki moja kwa moja katika operesheni za kijeshi za Ukraine.
-
Russia yatahadharisha juu ya uwezekano wa kupigana na Nato
Apr 17, 2022 21:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetahadharisha juu ya uwezekano wa kujiri mapigano ya muda mrefu baina ya nchi hiyo na Shirika Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) katika katika eneo la Ncha ya Kaskazini.
-
Russia yaonya itaweka silaha za nyuklia Baltic iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO
Apr 16, 2022 21:50Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia ameonya kuwa, iwapo Finland na Sweden zitajiunga na muungano wa kijeshi wa NATO, basi Russia itazitambua nchi hizo mbili kuwa maadui.
-
Ukraine iko tayari kubadili Katiba na kutupilia mbali kujiunga na NATO
Mar 31, 2022 03:28Waziri Mkuu wa Slovenia ametangaza utayarifu wa Ukraine wa kubadilisha Katiba ya nchi hiyo na kuachana na nia yake ya kujiunga na NATO.