Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

NATO

  • China: Marekani na NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali

    China: Marekani na NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali

    Mar 25, 2022 14:23

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitaka Marekani na shirika la kijeshi la NATO ziombe radhi kwa kuzivamia na kuzishambulia kijeshi nchi mbalimbali duniani.

  • Askari 4 wa US waangamia katika luteka ya NATO nchini Norway

    Askari 4 wa US waangamia katika luteka ya NATO nchini Norway

    Mar 20, 2022 02:45

    Askari wanne wa Marekani wameaga dunia baada yao ya ndege ya kivita kuanguka na kuwaka moto wakati wa maneva ya kijeshi ya nchi wanachama wa shirika la kijeshi la nchi za Magharibi NATO nchini Norway.

  • Marekani na NATO wahusika wakuu wa mzozo wa Ukraine

    Marekani na NATO wahusika wakuu wa mzozo wa Ukraine

    Mar 18, 2022 15:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema Marekani na NATO ndio wasababishaji wakuu wa mgogoro wa Ukraine na ndio wenye ufunguo wa kumaliza mgogoro huo.

  • Ramaphosa: NATO ndiyo ya kulaumiwa kwa vita vya Russia nchini Ukraine

    Ramaphosa: NATO ndiyo ya kulaumiwa kwa vita vya Russia nchini Ukraine

    Mar 18, 2022 15:01

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, ameilaumu NATO kwa vita vya Ukraine na kusema kuwa atapinga wito wa kuilaani Russia. Matamshi haya ya Ramaphosa yanatia shaka iwapo atakubaliwa na Ukraine au nchi za Magharibi kama mpatanishi katika mzozo huo.

  • China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani

    China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani

    Mar 18, 2022 07:25

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani ambao ndio wasababishaji wake wakuu.

  • Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO

    Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO

    Mar 14, 2022 02:53

    Josep Borrell Fontelles, Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amekiri kuwa kitendo cha umoja huo cha kuipa ahadi Ukraine ya kuiunga na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, lilikuwa kosa.

  • Rais wa Ukraine azishambulia tena nchi za Magharibi, asema hazina hata uwezo wa kulinda wananchi wao

    Rais wa Ukraine azishambulia tena nchi za Magharibi, asema hazina hata uwezo wa kulinda wananchi wao

    Mar 05, 2022 07:35

    Rais Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine amehamakishwa mno na uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kukataa ombi lake la kutangaza eneo lililo marufuku kupaa ndege na kuziambia nchi wanachama wa NATO kwamba, hivi nyinyi hata mna uwezo wa kulinda usalama wa nchi zenu?

  • Zakharova: Oparesheni za Kijeshi za Russia nchini Ukraine si uvamizi

    Zakharova: Oparesheni za Kijeshi za Russia nchini Ukraine si uvamizi

    Feb 27, 2022 07:57

    Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, muungano wa kijeshi wa NATO haupaswi kuzitaja oparesheni za kijeshi za Russia nchini Ukraine kuwa ni uvamizi.

  • Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia

    Feb 27, 2022 03:52

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.

  • Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili

    Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili

    Jan 15, 2022 00:44

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Alexander Grushko, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini Brussels mwishoni mwa mkutano wa Russia na NATO siku ya Jumatano kwamba, hitilafu za pande mbili zilikuwa wazi na kwamba katika kikao hicho kumejitokeza hitilafu nyingi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS