-
OIC na nchi Kiislamu zalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya al Aqsa
May 19, 2023 10:28Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na nchi za Kiislamu zimelaani hujuma iliyofanywa na Wazayuni wakiongozwa na mawaziri na wabunge kadhaa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika kile kilichopewa jina la "siku ya bendera".
-
Rais wa Iran awatumia Waislamu salamu za pongezi kwa mnasaba wa Sikukuu ya Idul-Fitr
Apr 22, 2023 02:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za kheri na fanaka kwa Waislamu kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr ambayo ni siku ya kurejea katika Fitra na ni wakati wa fahari na furaha kwa waliofunga katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na waja wema wa Mwenyezi Mungu.
-
Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 21, 2023 11:17Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.
-
Kanani Chafi: Nchi za Kiislamu zizuie kupotoshwa fikra za waliowengi kuhusu kadhia ya Palestina
Apr 10, 2023 11:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zina wajibu wa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutumia anga za kisiasa katika eneo kwa ajili ya kupotosha fikra za waliowengi kuhusu suala la Palestina.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua za pamoja kuulinda msikiti wa al-Aqswa
Jan 06, 2023 07:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuweko uratibu na kuchukuliwa hatua za pamoja na mataifa ya Kiislamu kwa ajili ya kuilinda hali ya kihistoria na kisheria ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Wiki ya Umoja na vizingiti vinavyozuia kupatikana umoja wa nchi za Kiislamu
Oct 26, 2021 02:30Tarehe 12 hadi 17 Rabiul Awwal sawa na tarehe 19 hadi 24 Oktoba zimetengwa na kutangazwa rasmi kuwa Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Jumapili ya juzi ndiyo iliyokuwa siku ya mwisho ya wiki hiyo muhimu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Baraza la Mamufti wa Russia: Nchi za Kiislamu ziungane kupambana na "Muamala wa Karne"
Feb 02, 2020 02:41Mkurugenzi wa Baraza la Mamufti wa Russia ambacho ndicho chombo kikubwa zaidi ya Kiislamu nchini humo amesema kuwa, kuna wajibu wa nchi zote za Kiislamu kuungana na kuwa kitu kimoja ili kupambana na mpango wa Kimarekani-Kizayuni wa "Muamala wa Karne."
-
Mpango wa "Muamala wa Karne" na udharura wa kuwepo umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kuitetea Palestina
Jan 30, 2020 07:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo siku zote imekuwa mtetezi halisi wa kadhia ya Palestina imezidisha harakati zake za kufanya mashauriano ya kidiplomasia na pande nyingine kwa shabaha ya kukabiliana na mpango wa Muamala wa Karne" uliotangazwa na Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Kiongozi: Hitajio muhimu zaidi la ulimwengu wa Kiislamu ni umoja wa nchi za Kiislamu
Sep 07, 2018 17:06Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema hitajio muhimu zaidi la ulimwengu wa Kiislamu hii leo ni ukuruba zaidi na mshikamano wa nchi za Kiislamu.
-
Rais Rouhani awatumia Waislamu mkono wa Idi
Jun 14, 2018 15:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia mkono wa Idi viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa mnasaba wa kukaribia kuingia katika sikukuu ya Idul Fitr.