-
Amnesty International: Magharibi ndiyo inayobeba dhima ya machafuko duniani
Feb 16, 2016 01:09Shirika la Msamaha Duniani limesisitiza kuwa, uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu unaotokea katika kona mbalimbali za dunia unafanyika kwa msaada wa silaha za nchi za Magharibi na kwamba Magharibi ndiyo inayopaswa kubeba ya dhima ya machafuko yote hayo.