-
Mjukuu wa Mandela: Afrika Kusini imepata msukumo kutokana na uthabiti wa Wapalestina
Apr 28, 2024 11:50Mjukuu wa Nelson Mandela amesema Afrika Kusini imetiwa moyo na kupata msukumo kutokana na istikama na uthabiti wa Wapalestina; na kwa sababu hiyo ikaileta hoja ya piganio lao mbele ya Jamii ya Kimataifa.
-
Mwanasiasa wa Kiafrika: Baadhi ya nchi za Kiarabu zimekatisha tamaa katika kadhia ya Palestina
Feb 11, 2024 12:11Mwanasiasa na mjukuu wa kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amekosoa uungaji mkono dhaifu wa baadhi ya nchi za Kiarabu kwa watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Mjukuu wa Mandela: Tutaishtaki Israel katika duru nyingine za kisheria
Jan 30, 2024 02:43Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, amesema kuwa nchi yake itawasilisha mashtaka mengine dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika duru nyingine za kisheria, kama Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo.
-
Wawakilishi wa Hamas washiriki katika kumbukumbu ya kumuenzi Mandela
Dec 06, 2023 09:23Maafisa wakuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) jana Jumanne waliungana na familia ya Nelson Mandela katika kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha rais huyo wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, mjini Pretoria.
-
Katibu Mkuu wa UN: Mandela alikuwa shujaa wa ujasiri na amani, tumuenzi kwa vitendo
Jul 19, 2023 02:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewataka walimwengu wayaenzi maisha na urithi alioacha shujaa wa Afrika Kusini Nelson Mandela kwa kukumbatia roho yake ya ubinadamu, utu na haki.
-
Sisitizo kuhusu utambulisho wa ubaguzi wa rangi wa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 29, 2023 11:16Mjukuu wa Nelson Mandela, marehemu kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika ardhi zao zilizoghusubiwa na kusema: “Wapalestina wanahitaji kuungwa mkono kivitendo kwa ajili ya kupata uhuru.”
-
Waingereza wasalimu amri, wakubali kurejesha ufunguo wa seli ya Mandela Afrika Kusini
Jan 07, 2022 15:21Ufunguo wa seli ya gereza ya kisiwa cha Robben alikofungwa Nelson Mandela utarudishwa Afrika Kusini badala ya kupigwa mnada nchini Marekani.
-
Chama tawala cha Afrika Kusini (ANC) chalaani vitendo vya dharau vya Trump kwa mzee Mandela
Sep 10, 2020 01:20Chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) kimelaani matamshi ya ufidhuli na dharau aliyoyatoa rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu mwendazake Mzee Nelson Mandela, Rais wa kwanza raia mweusi wa Afrika Kusini.
-
Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel
Aug 16, 2020 03:11Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel.
-
Mjukuu wa Mandela: Utawala kandamizi wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa ubaguzi wa rangi
Oct 12, 2018 17:12Mjukuu wa shujaa wa uhuru wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela amefananisha mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya waandamanaji wa Palestina huko katika Ukanda wa Gaza na mauaji yaliyofanywa na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini katika eneo la Sharpeville mwaka 1960 na kusisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni mbaya zaidi kuliko ule wa apartheid.