-
Siku ya Kimataifa ya Shujaa Mandela Yaadhimishwa
Jul 19, 2018 03:07Dunia imeadhimisha Siku ya Nelson Mandola ikiwa ni mwaka wa 100 tangu kuzaliwa kwa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini
-
Iran yaomboleza kifo cha mwanamapambano mwenza wa Mandela, Winnie
Apr 03, 2018 14:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuaga dunia Bi. Winnie Mandela, mwanamapambano mwenza wa hayati Shujaa Nelson Mandela kiongozi wa harakati ya kupambana na mfumo wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini.
-
Winnie Mandela afariki dunia akiwa na umri wa miaka 81
Apr 02, 2018 18:50Winnie Mandela, mke wa zamani wa Mzee Nelson Mandela wa Afrika Kusini amefaniki dunia leo Jumatatu, Aprili 2, 2018 akiwa na umri wa miaka 81.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Mandela ni nembo ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi
Jan 05, 2017 07:40Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtaja hayati mzee Nelson Mandela kuwa nembo ya mapambano dhidi ya ukandamizaji na ubaguzi wa rangi.
-
CIA ilitoa taarifa zilizopelekea kukamatwa Shujaa Mandela mwaka 1962 huko Durban
May 16, 2016 03:57Hayati Shujaa Nelson Mandela wa Afrika Kusini alikamatwa na utawala wa makaburu mwaka 1962 kufuatia taarifa za siri zilizotolewa na shirika kuu la kijasusi la Marekani, CIA.