Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika

    Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika

    Apr 23, 2018 22:47

    Jeshi la Marekani linajenga kituo cha ndege za kivita zisizo na rubani nchini Niger kwa lengo la kukabiliana na kile wakuu wa Washington wanadai ni 'makundi ya kigaidi' barani Afrika.

  • Rais wa Niger ataka kustawishwa uchumi na ushirikiano wa pamoja dhidi ya ugaidi

    Rais wa Niger ataka kustawishwa uchumi na ushirikiano wa pamoja dhidi ya ugaidi

    Feb 02, 2018 00:20

    Rais wa Niger amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa uchumi na wakati huo huo kuweko ushirikiano wa pamoja katika kupambana na ugaidi ambao ni tishio kwa amani na usalama wa dunia.

  • Wanajeshi 9 wa Niger wahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi

    Wanajeshi 9 wa Niger wahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kuhusika na jaribio la mapinduzi

    Jan 27, 2018 13:07

    Mahakama moja nchini Niger imewahukumu kifungo cha miaka 15 jela askari tisa wa jeshi la nchi hiyo ambao wamepatikana na hatia ya kuhusika na jaribio la mapinduzi ya kijeshi ya kuiangusha serikali ya Rais Mahamadou Issoufou miaka miwili iliyopita.

  • Niger yapinga kutumwa wanajeshi wa Italia nchini humo

    Niger yapinga kutumwa wanajeshi wa Italia nchini humo

    Jan 27, 2018 09:22

    Katika hali ambayo Italia imetangaza habari ya kutumwa vikosi vyake vya kijeshi huko Niger kufuatia ombi la serikali ya Niamey, viongozi wa nchi hiyo ya Kiafrika wametangaza kuwa wanapinga kuweko wanajeshi wa Italia katika ardhi ya nchi hiyo na kwamba hawajawahi kuzungumzia suala hilo na wenzao wa Roma.

  • Mabadiliko makubwa katika safu ya uongozi wa vikosi vya ulinzi vya Niger

    Mabadiliko makubwa katika safu ya uongozi wa vikosi vya ulinzi vya Niger

    Jan 20, 2018 23:38

    Rais wa Niger amefanya mabadiliko makubwa katika safu ya uongozi wa vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa shabaha ya kuimarisha vita dhidi ya ugaidi na kupambana na wanamgambo wenye misimamo ya kufurutu ada.

  • Italia yaidhinisha kutuma wanajeshi Niger, na vikosi zaidi kaskazini mwa Afrika

    Italia yaidhinisha kutuma wanajeshi Niger, na vikosi zaidi kaskazini mwa Afrika

    Jan 18, 2018 04:25

    Bunge la Italia jana liliidhinisha kuongezwa idadi ya wanajeshi wake huko Libya na kutumwa wanajeshi wa nchi hiyo hadi 470 huko Niger kwa ajili ya kukomesha harakati za wahajiri na magendo ya binadamu kuelekea Ulaya.

  • Wanajeshi wa Italia walio Iraq kupelekwa Niger

    Wanajeshi wa Italia walio Iraq kupelekwa Niger

    Dec 25, 2017 03:21

    Waziri Mkuu wa Italia Paolo Gentilon amesema atapendekeza katika bunge la nchi hiyo kuwa baadhi ya wanajeshi wa Italia walio Iraq wapelekwe Niger kupambana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu na ugaidi.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa huko Niger

    Safari ya Rais wa Ufaransa huko Niger

    Dec 23, 2017 09:14

    Rais wa Ufaransa amewasili Niger kwa lengo la kukutana na wanajeshi wa nchi hiyo na kuchunguza hali ya mambo katika nchi za magharibi mwa Afrika.

  • UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger

    Nov 12, 2017 10:42

    Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.

  • Iran na Niger zasisitiza kukuza uhusiano wa kisiasa na kupambana na ugaidi

    Iran na Niger zasisitiza kukuza uhusiano wa kisiasa na kupambana na ugaidi

    Oct 27, 2017 04:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Niger wamesisitiza suala la kukuza uhusiano wa kisiasa kati ya pande mbili na kupambana na ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS