-
Waziri: Wanajeshi 12 wa Niger wameuawa katika shambulizi
Oct 22, 2017 04:06Waziri wa mambo ya Ndani wa Niger ametangaza habari ya kuuawa wanajeshi 12 wa nchi hiyo katika shambulio jipya lililotokea kwenye mpaka wa nchi hiyo na Mali, kaskazini magharibi mwa Niger.
-
Kupanuka wigo wa uwepo wa wanajeshi wa Marekani barani Afrika na athari zake
Oct 21, 2017 10:13Kuuliwa wanajeshi wanne wa Marekani nchini Niger kumezidi kutoa mguso juu ya suala la kuhalalishwa kuongezwa idadi ya wanajeshi wa Marekani barani humo.
-
Komando wa nne wa Marekani auawa katika hujuma Niger
Oct 07, 2017 10:59Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imethibitisha kuuawa Komando wa nne wa jeshi la nchi hiyo katika hujuma ya kuvizia nchini Niger ambapo awali ilikuwa imetangazwa ni makomnando watatu waliouawa.
-
Makomando 3 Wamarekani wauawa nchini Niger
Oct 05, 2017 04:18Makomando watatu wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani wameuawa katika shambulizi la kuvizia nchini Niger wakiwa katika oparesheni ya kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo.
-
Indhari ya serikali ya Niger kwa wafanyabiashara wanaoshirikiana na kundi la kigaidi la Boko Haram
Oct 01, 2017 10:55Kutokana na kuendelea mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika eneo la magharibi mwa Afrika viongozi wa serikali ya Niger wametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaoshirikiana kibiashara au kwa namna yoyote ile na kundi hilo.
-
Serikali ya Niger yawaonya wafanyabiashara wanaoshirikiana na Boko Haram
Oct 01, 2017 00:26Viongozi wa Niger wamewaonya vikali wafanyabiashara ambao wanafanya biashara kwa siri na kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Mafuriko yameua watu 50 nchini Niger na kuacha maelfu bila makazi
Sep 14, 2017 23:42Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali watu 50 wamefariki dunia nchini Niger kufuatia maafa ya mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Jeshi la Niger lashambulia maficho ya Boko Haram; magaidi 40 wauawa
Aug 24, 2017 09:16Jeshi la Niger limeshambulia moja ya maficho ya kundi la kigaidi la Boko Haram kusini mashariki mwa nchi hiyo katika fremu ya oparesheni ya kuwaangamiza magaidi katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
-
Niger yatoa mwito kwa jamii ya kimataifa kusaidia mapambano dhidi ya ugaidi
Aug 05, 2017 22:41Rais wa Niger ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa akitaka kuungwa mkono haraka iwezekanavyo mapambano dhidi ya ugaidi katika eneo la Sahel barani Afrika. Rais wa Niger ametoa ombi hilo katika maadhimisho ya mwaka 57 wa uhuru wa nchi hiyo.
-
Machafuko yaendelea katika mpaka wa Niger na Mali
Jul 22, 2017 12:05Machafuko na mapigano makali yameendelea kushuhudiwa katika eneo la mpaka wa Niger na Mali licha ya kutangazwa ripoti ya mafanikio makubwa ya Operesheni ya Barkhane katika eneo hilo.