Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Nchi za Kiislamu zatakiwa kushirikiana kimataifa

    Nchi za Kiislamu zatakiwa kushirikiana kimataifa

    Jul 10, 2017 09:23

    Mwenyekiti wa Kundi la Urafiki la Mabunge ya Iran na Niger katika Bunge la Iran amesema kuna haja kwa nchi za Kiislamu kushirikiana katika uga wa kimataifa ili kuwa na taathira katika maamuzi muhimu kwa maslahi ya nchi za Kiislamu.

  • Boko Haram wafanya shambulizi jingine kusini mashariki mwa Niger

    Boko Haram wafanya shambulizi jingine kusini mashariki mwa Niger

    Jul 03, 2017 23:15

    Watu 9 wameuawa katika shambulio jipya lililofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram, kusini mashariki mwa Niger.

  • Niger yawaokoa wahajiri 92 waliotelekezwa kwenye jangwa la Sahara

    Niger yawaokoa wahajiri 92 waliotelekezwa kwenye jangwa la Sahara

    Jun 14, 2017 11:03

    Mamlaka za Niger zimewaokoa wahajiri 92 kutoka Afrika Magharibi waliokuwa wametelekezwa na wafanya magendo ya binadamu kwenye jangwa la Sahara wakijaribu kuvuka mpaka na kuingia nchi jirani ya Libya.

  • Kiongozi wa upinzani Niger ahukumiwa kifungo jela

    Kiongozi wa upinzani Niger ahukumiwa kifungo jela

    Jun 06, 2017 09:18

    Mahakama moja nchini Niger hii leo imetoa hukumu ya kifungo cha miezi mitatu jela dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini humo, aliyekuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuchochea mapinduzi dhidi ya serikali.

  • Askari sita wa Niger wauawa na magaidi katika mpaka wa nchi hiyo na Mali

    Askari sita wa Niger wauawa na magaidi katika mpaka wa nchi hiyo na Mali

    Jun 01, 2017 23:31

    Viongozi wa Niger wametangaza kuwa askari sita wameuawa katika shambulizi la kigaidi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Mali.

  • Wahajiri 44 wafariki dunia kwa kiu kaskazini mwa Niger baada ya gari lao kuharibika

    Wahajiri 44 wafariki dunia kwa kiu kaskazini mwa Niger baada ya gari lao kuharibika

    Jun 01, 2017 02:17

    Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, wahajiri wapatao 44 ambao wengi wao ni kutoka nchi za magharibi mwa Afrika wamefariki dunia kwa kiu kaskazini mwa Niger baada ya lori walilokuwa wakisafiria kuharibika katikati ya jangwa.

  • Umoja wa Mataifa: Raia 1,300,000 nchini Niger hawana chakula

    Umoja wa Mataifa: Raia 1,300,000 nchini Niger hawana chakula

    May 18, 2017 02:44

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, raia milioni moja na laki tatu katika nchi ya Niger iliyoko magharibi mwa Afrika wamakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.

  • Rais wa Niger: Zichukuliwe hatua za kukabiliana na ukosefu wa usalama Afrika

    Rais wa Niger: Zichukuliwe hatua za kukabiliana na ukosefu wa usalama Afrika

    May 10, 2017 09:51

    Rais Mahamadou Issoufou wa Niger ametoa wito wa kuchukuliwa hatua madhubuti kwa ajili ya kukabiliana na ukosefu wa usalama na wakati huo huo kuungwa mkono suala la haki za binadamu barani Afrika.

  • Mlipuko wa homa ya manjano kambini yaua watu 25 nchini Niger

    Mlipuko wa homa ya manjano kambini yaua watu 25 nchini Niger

    Apr 28, 2017 03:19

    Mlipuko wa homa ya manjano (Hepatitis E) umesababisha vifo vya makumi ya watu nchini Niger.

  • Taasisi za kiraia Niger zatahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi

    Taasisi za kiraia Niger zatahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi

    Apr 24, 2017 22:53

    Jumuiya ya Wasomaji Bingwa wa Qur'ani na taasisi nyingine kadhaa zisizo za serikali nchini Niger zimetahadharisha kuhusu hali mbaya ya wakimbizi walioko katika maeneo ya kusini mashariki mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS