Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Niger

  • Watu wenye silaha waangamizwa katikati mwa Nigeria

    Watu wenye silaha waangamizwa katikati mwa Nigeria

    Apr 23, 2017 03:19

    Jeshi la polisi la Nigeria limetangaza habari ya kuuawa watu wawili katika jimbo la Niger la katikati mwa nchi hiyo.

  • Polisi watatu Niger wakamatwa baada ya mtu mmoja kuuawa katika maandamano ya wanafunzi

    Polisi watatu Niger wakamatwa baada ya mtu mmoja kuuawa katika maandamano ya wanafunzi

    Apr 16, 2017 22:25

    Serikali ya Niger imetangaza kuwa maafisa watatu wa polisi wametiwa nguvuni baada ya kuripotiwa kuwa walimshambulia mwandamanaji mmoja katika maandamano yaliyogeuka kuwa ya fujo ya wanachuo yaliyosababisha kifo cha mtu mmoja na kupelekea kufungwa chuo kikuu kikubwa zaidi cha nchi hiyo.

  • Boko Haram wapata pigo jingine kubwa nchini Niger

    Boko Haram wapata pigo jingine kubwa nchini Niger

    Apr 10, 2017 23:18

    Afisa mmoja wa masuala ya usalama wa Niger alisema jana kwamba, wanamgambo 57 wa genge la kigaidi la Boko Haram waliuawa Jumapili usiku katika mapigano na wanajeshi wa serikali, kusini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Mahakama ya Niger yawaachia huru watuhumiwa 15 wa jaribio la mapinduzi

    Mahakama ya Niger yawaachia huru watuhumiwa 15 wa jaribio la mapinduzi

    Mar 25, 2017 11:57

    Mahakama ya Niger imewaachia huru watu 15 waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma za kupanga jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Mahamadou Issoufou wa nchi hiyo.

  • Kuundwa kundi shirikishi kwa ajili ya kupambana na wahajiri haramu

    Kuundwa kundi shirikishi kwa ajili ya kupambana na wahajiri haramu

    Mar 16, 2017 00:46

    Serikali za Uhispania, Ufaransa na Niger zimeunda muungano wa pamoja kwa ajili ya kupambana ipasavyo na kadhia ya wahajiri haramu na magendo ya binaadamu.

  • Rais Issoufou: Zaidi ya wanachama 100 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Niger

    Rais Issoufou: Zaidi ya wanachama 100 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Niger

    Mar 07, 2017 01:18

    Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, wamejisalimisha kwa jeshi la Niger, katika eneo la Diffa kusini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Niger yachelea athari za kijamii na kiuchumi za mashambulizi ya Boko Haram

    Niger yachelea athari za kijamii na kiuchumi za mashambulizi ya Boko Haram

    Mar 05, 2017 12:35

    Rais wa Niger amesema ana wasiwasi wa athari hasi za mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram kwa hali ya kijamii na kiuchumi ya nchi hiyo.

  • Hali ya hatari yatangazwa mpaka wa Mali na Niger

    Hali ya hatari yatangazwa mpaka wa Mali na Niger

    Mar 04, 2017 12:38

    Serikali ya Niger imetangaza hali ya hatari katika mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ya Mali.

  • Wanajeshi wa Niger washambuliwa katika mpaka wa Mali

    Wanajeshi wa Niger washambuliwa katika mpaka wa Mali

    Feb 24, 2017 04:40

    Wanajeshi kadhaa ya Niger wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Mali.

  • Waziri wa Niger: Wapiganaji wa Boko Haram wanaojisalimisha wanazidi kuongezeka

    Waziri wa Niger: Wapiganaji wa Boko Haram wanaojisalimisha wanazidi kuongezeka

    Jan 06, 2017 23:50

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Niger ametangaza kuwa, wanachama wengine wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamejisalimisha kwa vyombo vya usalama vya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS