-
Rouhani: Iran kuimarisha uhusiano wake na Niger
Dec 19, 2016 04:47Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Rais wa Niger Mahamadou Issoufou, kwa mnasaba wa kuadhimishwa Siku ya Taifa ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Umoja wa Ulaya kuipatia Niger mamilioni ya dola endapo itazuia wahajiri kuelekea Ulaya
Dec 17, 2016 13:33Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, utaipatia mamilioni ya dola nchi ya Niger endapo itafanya juhudi za kuwazuia wahajiri wanaolekea Ulaya ambao wanapitia katika nchi hiyo.
-
Wakimbizi waliofukuzwa Algeria waingia nchini Niger
Dec 10, 2016 10:26Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika waliofukuzwa nchini Algeria wameingia katika nchi jirani ya Niger.
-
UN: Waniger milioni mbili wanahitaji misaada ya kibinadamu
Nov 26, 2016 00:23Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa watu wapatao milioni mbili watahitaji misaada ya kibinadamu nchini Niger.
-
Watu wenye silaha waua askari watano wa Niger
Nov 08, 2016 23:08Wizara ya Mambo ya Ndani ya Niger imetangaza kuwa watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha nzito wakiwa wamepanda pikipiki na vipando vingine wamevamia kijiji kimoja na kuua askari askari watano karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mali.
-
Niger: Makundi yenye misimamo mikali yapigwe vita
Nov 04, 2016 04:11Serikali ya Niger imesema kuwa, makundi yenye silaha na yenye misimamo mikali huko kaskazini mwa Mali yanahusika na machafuko na mashambulizi ya hivi karibuni nchini humo.
-
38 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano Niger
Nov 02, 2016 11:00Watu 18 wameuawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa katika mapigano makali kati ya wakulima na wafugaji nchini Niger.
-
Niger katika maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa wanajeshi wake
Oct 09, 2016 10:17Rais wa Niger ametangaza siku mbili za maombolezo ya kitaifa kote nchini humo kufuatia kuuliwa wanajeshi wake kadhaa katika shambulio la watu wenye silaha walioivamia kambi moja inayowahifadhi raia wa Mali katika eneo moja kaskazini magharibi mwa Niger.
-
Kuwekwa na Marekani kambi kubwa ya kijeshi nchini Niger
Oct 01, 2016 04:17Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imetenga kwa akali kiasi cha Dola milioni 50 kwa ajili ya kuibadili kambi yake ya kijeshi mjini Agadez, katikati mwa Niger na kuwa mahala pa kuhifadhia ndege zake za kivita nchini humo.
-
Wanajeshi wanne wa Chad wauawa mpakani na Niger
Aug 27, 2016 23:35Wanajeshi wanne wa Chad wameuawa baada ya kuripuka bomu la kutegwa ardhini katika eneo moja la mpakani mwa nchi hiyo na Niger.